Search results

  1. Craig Natson

    Natafuta Mercedes Benz za zamani

    Ipo hii kama mpya, ukiipenda njoo inbox chap
  2. Craig Natson

    Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

    Mleta mada jambo usilolijua ni kama usiku WA giza. Angalizo: Watanzania tuwe makini na Hela za Benki
  3. Craig Natson

    Mama wa kambo kashaniendea mara mia moja kwa waganga wa kienyeji ili Mzee asinijali, anisahau

    Hii changamoto tupo wengi, ushauri muhimu ni kuzingatia na kutilia maanani masuala yanayohusu mustakabali WA maisha yako. Jiweke mbali kabisa na mbaya wako/mnafiki wako hata aoneshe kukujali vipi. Usinisumbue kuuliza kuuliza chochote kuhusu mabaya anayokutendea au kujaribu kitafuta suluhu na...
  4. Craig Natson

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Pressure cooker/Mult cooker 85000/= 0655366915 Dar es salaam
  5. Craig Natson

    Naomba kujua dawa yakutoa makovu miguuni

    Chukua asali ya nyuki wadogo changanya na mdalasini ya unga Kisha paka kwenye makovu, subiri kwa nusu saa na uoshe kwa maji ya vuguvugu. Fanya hivyo mara kwa mara utaona matokeo
  6. Craig Natson

    Hili suala la ku-verify vyeti kwa mwanasheria limekaaje ?

    Umewaza vyema sana, nchi yetu Bado changa ... Ni Sawa na kutakiwa kuwasilisha NIDA ID na wakati huohuo barua ya utambulisho Kutoka S/Mtaa ikihitajika.
  7. Craig Natson

    Natafuta shamba la kununua Kisaki heka 50 - 200

    Duthumi unauzaje kwa heka mkuu?
  8. Craig Natson

    Shughuli za Mwenge zinaendelea. Je, Katazo la Wizara halina mashiko?

    Wizara: Corona ipo na imepamba moto, wananchi wachukue tahadhari
  9. Craig Natson

    Somo hili ni mkombozi wa umaskini kwa Mtanzania

    Mpaka sasa hajatokea kiongozi yeyote mwenye Nia ya kumsaidia mwananchi. Tunahitaji mfumo Bora wa elimu na viongozi wetu hawako tayari kibadilisha mfumo maana wananchi wataendelea na kiwazidi akili.
  10. Craig Natson

    Mwendokasi kituo cha Gerezani waheshimuni wateja wenu wanaokwenda Mbezi

    Tatizo mradi wa uma na hauna mshindani Ni kosa kubwa kuita mwendo Kasi wakati mchakato mzima wa kupata gari na safari yenyewe unaweza kuzidi saa nzima na karaha za kutosha. Kwakua viongozi wetu ambao ni zao la wanasiasa Hawa Nia ya dhati kusaidia wananchi basi tuvumilie kudumisha amani.
  11. Craig Natson

    Naomba kujuzwa Mikoa yenye hali nzuri ya hewa

    Lushoto sijui ndio Tanga
  12. Craig Natson

    Kumbe maisha ni bure kabisa, kuanzia leo sitajisumbua kwa lolote

    Maandiko yamezungumzia yote hayo, .......Maisha ni ubatili mtupu sawa na kifukuza upepo.
  13. Craig Natson

    Vitambulisho vyote vya Taifa viwekwe namba za simu za wahusika

    Hata humu kwenye forum yetu ungekuwepo Uzi maalum wa upotevu wa vitu ingesaidia. Vitambulisho ni muhimu kuliko hata fedha zinazokua ndani ya waleti na huleta usumbufu mkubwa katika ufuatiliaji. Ukienda ofisi mbalimbali na katika vyombo vya usafiri wa uma utakuta vitambulisho kwenye madirisha...
  14. Craig Natson

    Watanzania kwa aliyemuelewa Gwajima kwenye hii video atueleweshe

    Ashakumu si matusi; wasomi wengi na pia wengi waliopewa dhamana ya kutuongoza wanaongoza kwa kiwango kikubwa cha ujinga. Unaposema rais aliyepo anafanya kazi nzuri kuliko mwingine yeyote na hivyo kusiwe na haja ya kuchagua mwingine inabidi ujiulize; -Waliotangulia wasingekubali kuachia nafafi...
  15. Craig Natson

    Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

    Kunaweza kua na ukweli mkubwa ndani yake lakini sasa; ngumu kupokea. Dawa chungu lakini ndio tiba.....
  16. Craig Natson

    Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

    Nyumba ya kupanga inahitajika maeneo ya Kinyerezi, Maramba Mawili hadi Mbezi Msigani. SIFA: vyumba viwili vya kulala kimoja master. Isiwe mbali na Barbara ya Mbezi-Kinyerezi Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Craig Natson

    Unaotokea mjini kuja Ubungo na Kimara tafuta njia nyingine

    Hongera kwa mdau aliyetoa taarifa kwani ni ngumu kutambua nini HASA kimetokea labda uamue kutembea kwa miguu ufatilie kilichotokea. Kwa msaada, njia ya Samujoma/Ubungo-Mwenge hazina foleni kabisa, kwa mdau anayetokea mjini ingilia popote, kisha shika shekilango road, ingia mawasiliano kisha...
  18. Craig Natson

    Uzi maalum kwa ajili ya upotevu

    Lengo ni kupata msaada wa kupata Mali/ kitu kilichopotea au kumpata muhusika wa kile kilichookotwa. Uzi huu utakuwa ni msaada kwa wengi kwani wapo waliookota vitu ambavyo hawana matumizi navyo na hawana namna ya kumpata muhusika/mpotezaji, na wapo wale waliopoteza vitu na hawajui watavipata...
Back
Top Bottom