Search results

  1. M

    Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Baada ya kuvuma sana kwa taarifa za kwamba CCM infikiria kumsimamisha Makongoro Nyerere kuwa mrithi wa raisi kikwete, Mh Makongoro Nyerere ameamua kuweka wazi bila kkupinga kwamba ana nia au hana nia ya kuwania uraisi. Vyombo vingi vya habari na mitandao ilitoa taarifa za bwana makongoro kuombwa...
  2. M

    Kwanini Lowasa hasomagi taarifa za kamati yake bungeni?

    Miaka yote nimekuwa natamani sana kumuona Mh. Lowasa akisimama bungeni kusoma taarifa ya kamati yake ya ulinzi na usalama na mambo ya nje kwani viongozi wengi haswa wenyeviti hutumia nafasi hii kutoa mapendekezo ambayo huwa ni mwiba kwa serikali na kuonyesha utendaji wa serikali katika idara...
  3. M

    Bumbuli 2015 ni Abdul Mgeni maarufu kama Kaniki

    Baraka angekuwa na nia angeweza kuwa na nafasi nzuri maana hata baba yake bado anapendwa, lakini Baraka hajajitokeza na hata Mzee Shelukindo anamkubali sana Kaniki na amekuwa akimshauri mara nyingi juu ya siasa za Bumbuli.
  4. M

    Bumbuli 2015 ni Abdul Mgeni maarufu kama Kaniki

    hakuna mwanaBumbuli asiyemjua Kaniki, huyu ndio tishio la January na Baba yake, huyu ndie alikuwa amemshinda January mwaka 2010 lakini Baba yake akabadilisha utaratibu wa kupiga kura ili waingize kadi feki na ndipo wakachakachua...KANIKI hana mpinzani BUMBULI na January anajua sana ndio maana...
  5. M

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    hahaha soooooo cheap....hawa ndio watanzania wapiga debe wa maraisi watarajiwa....
  6. M

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    duh kama mtu hata humendi lakini kuna vitu si vya kukataa: Education[edit] BA in Economics & International Studies, American University in Washington, DC, USA. MA in Economics (Applied Economics), American University in Washington, DC, USA. Masters in Public Administration, American University...
  7. M

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    wewe unaongea kwa hisia potofu sana, Mzee wasira hana shida ya afya na ni msomi anayetambulika vizuri sana katika uchumi, acha ushabiki wa kutumia makalio tumia akili..
  8. M

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    Nimekuwa nafuatilia kwa kiasi siasa za nchi yetu kwa muda haswa kuelekea uchaguzi mkuu mwakani na kutaka kujua nani anafaa kumrithi JK. Ukitazama watu wengi waliojitokeza kwenye CCM wawe wazee au vijana bado sifa zao za uadilifu ndani ya chama na nje ya chama ni za kutiliwa mashaka sana...
  9. M

    Malumbano ya familia ya Shelukindo na Mh Januari Makamba

    duh kwanza siamini kama hii barua imetoka kwa watoto wa Mzee shelukindo, its too simple, nahisi inatoka kwa Makamba mwenyewe, tunamjua jinsi anavyojijenga kupitia vyombo vya habari baadala ya kutumikia watu waliomchagua. ningetegemea Makamba ndio angefanya effort kukutana na mzee shelukindo...
  10. M

    Kazi ya January Makamba alipokuwa Msaidizi wa Rais

    Huwezi ukawa mtu mwenye akili zako ukaandika thread kama hii, yani ukisikia tu kitu uje kuandika JF, mbona wewe tumesikia wanaku.....hatujaandika hapa.
  11. M

    Wagosi washerehekea kuondoka kwa mzee makamba ccm....

    Baadhi ya wagosi (watu watokao na wanaoishi mkoa wa tanga) wamefurahishwa sana na kitendo cha mzee makamba kutoka ndani ya ccm. Wengi wamefurahia suala hilo haswa kwa sababu ya ubabe,dharau,kebehi na matusi waliyokuwa wakipata kutoka kwa mzee makamba wakati wote wa uongozi wake. Mzee makamba...
  12. M

    Rais Kikwete akutana na ujumbe wa VodaCom; is it necessary for a press?

    huyo binti ni mtoto wa mzee makamba, na yupo pale kwa kazi maalum, shughuli zote znazohusu serikali yeye ndiye anayetumiwa na vodacom kufanya lobying, ndio maana vodacom hawakosi suport siku zote serikalini...lakini pia huyo mwanamke ambaye mume wake ni mzungu, ana mahusiano pia na huyo bosi...
  13. M

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Zito....hata kama unamuuguza mama yako hiyo sio lugha ya kiungwana uliyotumika, wakati kama huu ambapo wenzako wapo kwenye harakati za kuhamasishwa watanzania juu ya mambo mnayosimamia ilikuwa ni wajibu wako kuonyesha kuwaunga mkono kwa hali yoyote, kuuliza kama Tundu lisu yupo inamaana kama na...
  14. M

    Siri kubwa CCM!!!

    ...ni kosa la kutype jamani achaeni kukuza mambo, mnaishusha hadhi hii forum, kila mtu aje tu hapa apost kitu na atushughulishe bila mantiki, ndio hatuipendi ccm lakini tuwe makin...ilitakiwa isomeke..MTU na sio MBU....
  15. M

    Dr. Slaa Akamatwe, ahojiwe na ikiwezekana achukuliwe hatua

    ...JK aliposema hamajui mmiliki wa Dowans wakati anamjua je sikudanganya taifa? je uongo hauwezi kuchochea uasi? ...Pinda alipozungumzia suala la Arusha wakati kesi ipo mahakamani tena akapindisha ukweli, je huko nako si kosa? kuwa makini bila kutumia ushabiki....
  16. M

    Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

    nadahani mwalimu alikuwa anamuamini mtu aliyekuwa anafitiniwa..hata kama ni wewe unaletewa majungu ya mtu unayemjua huwezi kukurupuka....
  17. M

    Serikali sasa kununua mitambo ya DOWANS!

    huyu January mimi namuonea huruma sana, anatafuta umaarufu bila kufanya tafakari, yeye toka achukue uenyekiti hoja ni mitambo ya dowans tuu, tena anaongelea suala lile kwa kujiamini sana as if he is well informed, anaonekana anajua nini wenye dowans wanataka na nini wako tayari kufanya kwakuwa...
  18. M

    Nawashtaki Grace Kiwhelu, Lucy Owenya, Mary Chitanda na Mwanasheria Mkuu

    ...kama sheria iko wazi nakushauri bwana Alberto uendelee kuitendea haki nafsi yako... naamini umefikiria vya kutosha mpaka ulipoamua kuja na huu uamuzi..lakini pia kumbuka una wajibu wa kusaidia chama chako kilichokupa tiketi ya kuwa diwani....
  19. M

    Spika: Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto sio jambo la dharura!

    huyu mama mjinga sana...k...#^&%^&*^*()(_-ke
  20. M

    Nauliza. Huyu ridhiwani ni nani??????

    zipo taarifa pia kwamba Riz1 ni mhusika mkuu katika biashara za dawa za kulevya akishirikiana na mtoto wa mzee samwel sita na offic yao ipo masaki.....
Back
Top Bottom