Search results

  1. K

    Watanzania hawana adabu kumsema Rais!

    Huyu bwana hajatembea ulimwenguni akaona demokrasia ya kweli...
  2. K

    Mohamed Mpakanjia is no more!

    APUMZIKE KWA AMANI...amina
  3. K

    Liyumba augua keko

    Liyumba amefanywa mbuzi ya kafara, iweje wenzake wote wapewe dhamana?..vigogo wote wa EPA wako nje kwa dhamana...na yeye apewe....
  4. K

    Serikali yaunda Tume kuchunguza Ufisadi Tanesco

    Ikumbukwe huyu Boss wa Tanesco kuna wakati aliomba kuachia ngazi lakini JK akamwomba asifanye hivyo ... hivi yeye ni nani kiasi anaogopwa?..anasiri gani moyoni mwake?..hakuna shaka hili ndilo linampa kiburi ya kufanya analotaka!
  5. K

    FIFA Confederations Cup 2009

    KOMBE LA MABARA 2009-CONFEDERATION CUP 2009 UJANJAUJANJA WA MISRI SAFARI HII WAKWAMA Katika mchezo kati ya Misri na Brazil ambapo matokeo yalikuwa Brazil 4 vs Misri 3 ujanjaujanja wa wachezaji wa Misri ulikwama.Kwa miaka mingi wa-Misri wamekuwa wanakera wapenzi kwa visa vyao vya kujiangusha...
  6. K

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    Nimesoma kwenye gazeti moja maarufu hapa bongo wiki hii ati fedha hizo alizotafuna serikali yetu itazilipa.Jamani hii ni sawa?....na baada ya hapo itakuwaje?...sheria itachukua mkondo wake?
Back
Top Bottom