Search results

  1. M

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Nilichoshangaa ni kudumu kwa mrs Mbuya na ukuu wa shule toka enzi zetu mpaka zenu
  2. M

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Wote nyie cha mtoto, waliomaliza std 7 1977 wajitokeze. Mariam saidi, Pauleta Nyerere, Asumpa ndeji, Gladys Butiku, Robert Jana, Semu Mwaijande, Fortunata Makafu, Richard Kashinde, Eliza Guveti. Walimu Josephne Mahiga, mwl Mbuya, mwal Kagisa, mwl Kasdam muhindi, mkiingia asubuhi gate likifungwa...
  3. M

    Baba Mama na Mtoto.............nani amewaona?.

    Macho yamezeeka wapi mother jamani
  4. M

    Baba Mama na Mtoto.............nani amewaona?.

    Baba kaangalia kulia na ana mustach, mtoto katazama nyuma namtafuta mama
  5. M

    Wassira aamua isiwe kesi, Amfuata Sheria Ngowi

    Tulikuwa kwenye mchakato wa kutafuta vazi la taifa tumeshapata. Asante wasira kwa ubunifu. Wizara daka hiyo inafaa
  6. M

    Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

    Mnao mtetea wasira na kumlaumu membe nitawashangaa mpaka mwisho wa dunia. Nguo kavaa mwenyewe, katoka na kufika kwenye tamasha, kaambiwa kupiga picha kanyanyuka na kujiandaa membe kaingiaje tuache chuki za kijinga, na huyo mpambe wa wasira anayetoa tamko kama analipwa mshahara afukuzwe kazi...
  7. M

    Jaydee huu ni utoto sana tena sana

    So what maisha ni yake. Kama Habash alimuacha mke kisa hela za Jide anaidhihirishia dunia kuws ye ni ----. Dume zima ukubali kurubuniwa aibu yenu madume kama mabint
  8. M

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Nyie wote cha mtoto. Tuulizeni sisi tuliomaliza 1977. Lakini leo mmenishangaza mwl Mbuya tulimuacha. Tulikuwa na mwi Kassam muhindi. Mwl Kagisa. Josnphne Mahiga. Waliomaliza mwaka huo na ambao wapo wajitaje. Kaka mkuu wakati huo aliitwa sostenes wa Musoma. Sister Edgara cooking na needle work...
  9. M

    Hivi mheshimiwa rais ni nini unakitafuta kwa watanzania

    Kuna mijitu mingind inajibu kama imetumwa. Kwa hali ya kawaida mtanzania ana uwezo gani kiuchumi kuendelea kubeba sekta ya umeme inayowanufaisha mafisadi wachache. Leo hii mkulima wa mpunga serikali ya kikwete imeamua kumtosa na kuagiza mchele nje bei ya mchele ni ya kutupa na hairudishi hata...
  10. M

    Mwakyembe kutangaza ajira alizoshinikiza TPA

    Tatizo la nchi hii mtendaji na mzalendo watambeza, kumtukana hata kumuua kama Mgimwa shame on you mafisadi. Mwakyembe tunamkubali na mndmshindwa. Ana mungu yeye
  11. M

    Mwakyembe kutangaza ajira alizoshinikiza TPA

    mh mh mh John ulanga naye wa kusimamia shirika? Foundation ameifanyia ufisadi mpaka basi. Kaifanya kama yake. Ukiona kuna kampuni imepewa tenda ya consultant ujue ni yake. Wakati mwingine mnamtaja mtu makusudi ili aumbuliwe. Mwakyembe hongera kwa kumuondoa huyo fisadi
  12. M

    Masai katishaje????

    Umetisha jamaa
  13. M

    ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

    :rockon::rockon:umejiunga lini jamii forum napata shaka nahisi wewe ni huyo ziliona. uwe mkweli jamii forum ni mtambo wa kujirekebisha ningekuwa wewe ningebadili identity ili nipate mbinu za kujirekebisha. shame on you na wengine wote wadanganyifu.:high5:
  14. M

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    :spy: unapigia jibu mstari? kwani hujui kuwa ndivyo walivyo
  15. M

    Vua Gamba imeshindikana na imefungwa rasmi - Pius Msekwa

    mi napita tu maana majibu yote yako kwenye uchaguzi unaoendelea. Viongozi watoa rushwa hawana nafasi katika uchaguzi huu yaliyofanyika ni neema kwa wajumbe asiyejenga hata kigenge atakuwa ****.ehh nagu na sumaye mwe!!!
  16. M

    Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

    nimeipenda hata kazi cfanyi ahh!!! Ndoa ndoano
  17. M

    StarTV Live: Mjadala Bungeni Kielelezo cha kukomaa Demokrasia?

    mjadala unavyokwenda inadhihirisha kabisa kiti hakina uelewa wakutosha kuhusu kanuni. ndugai amedhihirisha kuwa sio kiongozi maana amekosa sifa ya uvumilivu, kukosolewa na kusikiliza mawazo ya wengine, anajiaminisha kuwa yeye anajua kila kitu.
Back
Top Bottom