Search results

  1. I

    Elections 2010 Wana-CCM safi kwa nini msijiengue na kuunda Chama Kingine?

    Kuna viongozi ambao kwa kweli kwa kuwaangalia angalau unaona wanaweza kuibadilisha nchi kama tu watakuwa na ujasiri wa kujitoa kwenye CCM, Kama alivyosema Rais Nyerere, Upinzani Halisi utatoka humo humo kwenye Chama Tawala. Mtu kama Magufuli (to me he is my favourite among all Tanzanian...
  2. I

    Elections 2010 Uchaguzi huo unakuja Watanzania akili kichwani, It is about time tuwaondoe hawa Watu

    Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu hii nzuri iliyoharibiwa na viongozi wapenda rushwa na wasiojali maisha ya wananchi wao. Mimi, wewe...
  3. I

    Africaoline wana matatizo gani?

    Jamani sisi tunaotumia mtandao wa Africaonline kwa ajili ya matumizi ya internet tumeonja joto ya jiwe toka jumamosi mpaka leo hii ninapoandika hii bado hatuna internet. Network hakuna toka jumamosi mpaka leo hii jumatatu. Tumejaribu kuwapigia simu mara kwa mara lakini tumekuwa tukijibiwa kuwa...
  4. I

    Ingekuwaje kama Mhe. Pombe Magufuli angekuwa ndio Waziri Mkuu?

    Pamoja na mapungufu yake ya kawaida kama binadamu mwingine, mie nafikiri ni kiongozi ambaye angalau amejaribu kuonyesha umahiri wake katika utendaji. Tumeona Wizara alizokabidhiwa na mabadiliko aliyofanya kwenye wizara hizo, ni kiongozi ambaye nafikiri angeweza kuleta mabadiliko ambayo...
Back
Top Bottom