Search results

  1. MeinKempf

    Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba

    Mr.Max memo, et al ... Please remember the Bible verses that says "fear thou not, for I am with thee", believe me,vyou shall one day overcome such cumbersome.
  2. MeinKempf

    Bungeni Dodoma: Spika wa Bunge Job Ndugai, amvua Ubunge Tundu Lissu(CHADEMA) Mbunge wa Singida Mashariki kwa kosa la utoro

    Hate him not , let him go, Aisee wadau mie nimeumia sana kwa kumuondoa bungeni huyu genius Lisu ,but time will tell.
  3. MeinKempf

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanini TANESCO mmeweka umeme barabarani tu afu maeneo yenye makazi mengi na watumiaji wengi hayana umeme kiasi kwamba umeme inakuwa kama huduma ya starehe badala ya huduma ya msingi na muhimu, mfano mvuti, dondwe, Chanika , fikeni maeneo ya yenye wananchi na muwawekeeni umeme ,
  4. MeinKempf

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    R.I.P kibonde, nakumbuka kukuona ukiwa MC wakati mwili wa boss Ruge unateremshwa kaburini, tena ulikuwa unatembea na kuchungulia ndani mwa kaburi wakati mtumishi wa Bwana anamwagia maji ya baraka na kuombea shughuli hiyo. kumbe ulichokuwa hukifahamu ni kwammba nawe ulikuwa njiani... Aisee kifo...
  5. MeinKempf

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Aisee nimeamini Leo kuwa wanasiasa Wa kibongo bongo ni waumini wazuri sana Wa "Gutter politics" - siasa za majitaka.
  6. MeinKempf

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Wewe kifo, hakika unge elewa maana ya huu msemo " kill him not, let him go" , ungetuachia Ruge wetu aendelee kuishi, lakini maadama wewe kifo / death umechagua kutumia msemo huu " kill him, let him go". Sisi kama wanadamu hatuna cha kuongeza zaidi ya kusema ni kazi yake Mola.
  7. MeinKempf

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Ndo maana Mimi ni muumini mzuri Wa msemo huu " if they don't appreciate u'r presence , then, let them appreciate u'r absence ". R.I.P Ruge.
  8. MeinKempf

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Pumzika kwa amani Rugemalila Mutahaba. Nimeguswa sana na kifo chako.
  9. MeinKempf

    Mwanamuziki Nguli Oliver Mtukudzi afariki dunia

    Mbele yake nyuma yetu.. R.I.P the legend
  10. MeinKempf

    Hawa ndiyo wachungaji matajiri zaidi Tanzania

    Badala ya kulinganishwa Kwa utajiri w kiroho (utajiri wa kuhubiri kweli ya neno la Mungu kwa wanakondoo) ila mambo siku hizi yamegeuka na kuwa watumishi wa Mungu wanajipambanua Kwa utajiri wa Wa Mali za kidunia. Dalili za maandiko matakatifu kutimia,tujihadhari na ulaghai Wa kidunia, Mungu...
  11. MeinKempf

    Biashara ya kupokea wageni ya bnb

    Uzi mzuri sana aisee...asante mleta uzi
  12. MeinKempf

    Zijue nchi 9 zinazoongoza kwa kufanya mapenzi duniani

    Kwani siku hizi India na Pakistan ziko Ulaya?? Au ile ramani yenye umbo LA tufe imebadili pozi la nchi kulingana na kanda husika?
  13. MeinKempf

    Ng'olo Kante Mhasibu aliyetukuka ndio maana hahiri

    Mkuu john stephano a.k.a the then Copenhagen DN mambo niaje? Vitu vyenye ncha Kali unanikumbusha Dr ulimboka saga
  14. MeinKempf

    Ng'olo Kante Mhasibu aliyetukuka ndio maana hahiri

    Aisee nimeona kweli umefukunyua habari zake nyeti za nyeti kama zilivyopatikana kwenye vyanzo vya nyegez
  15. MeinKempf

    Msimu wa gulio unafikia tamati leo saa 5 na dakika 59 usiku

    Mkuu Mshana Jr umenikumbusha hadithi niliyosoma miaka kenda kadhaa iliyopita nikiwa shule ya msingi katika ile hadithi ya (siku ya gulio kijijini kwetu)
  16. MeinKempf

    Kwanini customer care ya mwanaume ni bora zaidi kuliko ya mwanamke?

    Customer care anaowazungumzia mleta Uzi washaanza kufanya yao hadi hapa jukwaani JF....huu ni mfano hai Wa customer care inayolalamikiwa kutoka jinsia pendwa.
  17. MeinKempf

    Serengeti: Askari Magereza ajiua kwa kujipiga risasi mdomoni

    Yani hivyo ni kitu konki...konki master
Back
Top Bottom