Search results

  1. N

    Kenyan lady hotel managress urgently needed in Dar es Salaam

    I am in Urgent need to recruit a Kenyan Lady with a vast experience to lead a restaurant in Dar es Salaam. Her initial salary will be TZS 500,000 per month plus bonus if monthly targets is met. A classic meals and Accommodation will be provided to the right candidate. IF you fill that you...
  2. N

    Jamii forum wanaoongoza kutoa likes ni eiyer [bp] na ladyfurahia

    Habari wanajamvi, baada ya kujiunga humu jamvini mid last year, juzi juzi niliyopost comment nikaona nimepokea like zaidi ya thelathini [30] nami nimetoa tatu [3] nikafikiria kwa makini hivi ni kwamba wanajamvi wenzangu hakuna wanaotoa mchango wa knigusa na hata kuona wametumia upeo wa hali ya...
  3. N

    Yamenikuta wanajamvi msaada please

    Hivi majuzi nimehamia nyumba ya kupanga, nimekaa miezi mitatu kuna nyumba ilikuwa wazi baadae Kijana nae kahamia hapo akiwa na mkewe! Kabla ya wiki mke wa mpangaji mwenzangu kamanuva kapata namba ya simu yangu, ananisumbua ati ananipenda. Nimemkatalia na kumwambia wewe ni mke wa mtu na mie...
  4. N

    Inawezekana kweli mapacha wasiofanana wakazaliwa na baba wawili tofauti?

    Wanajamvi wasalaam! Rafiki yangu wakuu amezua mpya ya mwaka baada ya mkewe kujifungua mapacha wasiofanana ambapo mmoja ni copy right na babake wakati mwingine si mama wala baba wanaefana sasa kanifuata anadai kabla ya mkewe kuconceive alikuwa na mahusiano na mkware kazini huko. Hata hivyo...
Back
Top Bottom