Search results

  1. Kun Jr

    Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

    Konde Boy for everybody aisee nice perfomance nimependa jinsi anavyotutreat kicorporate safi sana harmonize
  2. Kun Jr

    Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

    Wazungu wana msemo unasema "Me and you against the world"
  3. Kun Jr

    Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

    Kama anakupenda na anataka kukuoa olewa tu dada. Changamoto mna values tofauti tu usitafute ushauri juu ya mapenzi yenu kaeni wote muongee kuleta usawa na maelewano. Nina mashaka wewe ni wale wanawake wenye kiburi na wagomvi ndiyo sababu mahusiano yenu yamefikia yalipofika na ukicheza unampoteza.
  4. Kun Jr

    Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

    Boss nikiflash simu hutokaa uipate andika maumivu
  5. Kun Jr

    iPhone zote zipo. Niagize nikuletee ulipo kwa Dar na mkoani nikutumie

    iphone 5G 16GB yenye icloud mwenye nayo njoo inbox
  6. Kun Jr

    Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?

    Mwanzisha uzi ni kipofu anayewaongoza vipofu wenzake
  7. Kun Jr

    NAJUTA: Ningejua nisingesoma huu uzi wa mwathirika, nimechanganyikiwa, tunauana humu ndani

    Huu uzi umenifanya niende kupima japo kwa shingo upande, nimekwapua boksi la vipimo kwa dokta demu kama hutaki kupima tembea mbele ndomu kama nna shida ya kimoja utembee zako.
  8. Kun Jr

    Unanchukuliaje mdada unaemtongoza leo, kesho anakupa kila unachokitaka kutoka kwake!

    Inategemea na unachokitaka kutoka kwake kama nataka mtoto akajifungua kesho yake nitamuona yeye ni Yesu Masiha
  9. Kun Jr

    Kitanda kinauzwa

    SOLD
  10. Kun Jr

    Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

    Tajiri akioa maskini atakuwa maskini kama atashindwa kumcontrol na muoelewaji asipokuwa na kiu ya maendeleo sababu atataleta idea, roho na tabia za kimaskini. Hongera kwake
  11. Kun Jr

    Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

    Watanzania wengi ni wachawi bila wao kujijua heko shirika letu la posta huduma zitakuwa za kizalendo zaidi. Hao matajiri wa manasi wamewalisha nini?
  12. Kun Jr

    SHAMBA AU PORI LINAUZWA

    Geneva of Africa hakuna hiyo😂😂
  13. Kun Jr

    SHAMBA AU PORI LINAUZWA

    Shamba au pori linauzwa linafaa kwa matumizi yote kulingana na mahitaji ya mteja mwenyewe Lipo Muriet Arusha km 3 kutoka barabara ya Africa Mashariki Lipo karibu na huduma zote za jamii Jumla lina ukubwa wa ekari 3.5 Linauzwa kwa kila ekari 1 Bei ya ekari moja Milioni 16 Mawasiliano 0738950197
  14. Kun Jr

    Afande Sele: Wanangu, nikifa mnichome moto

    Morogoro pia ipo
  15. Kun Jr

    Huyu ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani

    yupo vizuri natamani nipate kama huyu, watu wakisema mbaya nazidi kumpenda hadi waseme nimepewa limbwata wamuogope
  16. Kun Jr

    TTCL Yavuna Wateja Wapya 215,000

    Iwapo unapata network ya tigo vizuri washa data roaming.
  17. Kun Jr

    Taarifa kwa mliojiunga application ya Dent: Wekeni strong password kwenye akaunti zenu

    kiufupi nimeanza kucheza na android 2012 ikiwa jelybean Xda na hovatek palikuwa nyumbani so hakuna ambacho sikijui japokuwa wameiongezea android security lakini bado kuna loopholes. Mimi sio mtu wa kuogopa simu zote nilizotumia kwa pamoja nimeflash kuirudisha stock rom mara 100+, nimekupa picha...
  18. Kun Jr

    NILICHOGUNDUA KUHUSU PROPELLER ADS

    nimepata kitu🙏
Back
Top Bottom