Search results

  1. D

    EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

    Kuna mambo ambayo yanapaswa kuangaliwa kwa kina katika hili. Ukweli unabakia kwamba: 1. Integration hailazimishwi. Aidha umo au haumo (kwa faida yako). kama unaona huwezi kasi basi achia ngazi. 2. Hawa majirani walikuwapo, wapo na wataendelea kuwepo. Lililopo ni kuamua kushughulika na swala hili...
  2. D

    EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

    Sidhani kwamba ukweli umepindishwa hapa. kwanza, sio kweli kwamba UK inatekeleza yote isipokuwa common currency. Baadhi ya mambo ambayo UK ime-opt out (mkataba wa EU unaruhusu nchi ku-opt out) ni pamoja na schengen agreement (immigration entry visa); police and justice (along with Denmark)...
  3. D

    Exclusive interview with Mohammed Dewji

    Your company has been fairly successful as one of the first Tanzanian multinational companies. What are some of the lessons that you can share with others in the private sector that seek to venture across our borders?
  4. D

    Alumni- are you going to fit in or are you going to to change the situation?

    Ahsante kwa ujumbe mwanana. Hakuna ubishi kwamba kwa hilo tuko-nyuma (karne ya 16 pengine). Nimeona pale UDSM walianza akina Mchechu (Business school) kisha majuzi Mzee Warioba ameongoza jahazi la chuo kizima. BWM alitoa changamoto nafikiri miaka miwili ilopita kwenye chuo chake cha Makerere...
  5. D

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Hamza kasongo - alitangaza uhuru wa Tanganyika, 1961. Sasa ana kipindi channel 10?
  6. D

    Real estate trusts: Are they right for you?

    Thanks, anybody knows how the REIT at UTT is performing? AM assuming it got off the ground.
  7. D

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mzee mwanakijiji! Well said. Labda niongeze kwamba ukweli unabakia palepale kwamba kuna vipengele vingi vinavyopelekea kuwepo kwa khali hiyo. Mimi ni kati ya wale wanaoamini kwamba 'wakati utaamua' (time will tell?) Nikiangalia mie mndengeleko, nimeoa mnyakyusa, dadangu kaolewa na mchaga. Watoto...
Back
Top Bottom