ushauri huu wapa. jifunze kwa tajiri yako angalau kwa miaka 10 ujue nje na ndani ya "ushauri huu" Fanya kazi kwa bidii jitume na uwe timamu kisha unaweza kujiajiri ukiwa na miaka 30 au 40 na ukatoboa. ukiwa na haraka ya kutoboa utantumia Sana mtaji wako mdogo kukosea mwisho utakata tamaa utarudi...
ata kaa hujui kwa maelezo haya utaamini ni kweli. kuna wale wanajikuta wanafanya DNA test kwa kumla mzazi asipombemenda mtoto anajua mtoto ni wake, wanapoteza muda nendeni kwa wataalamu watoe majibu maisha yaendelee.
asante kwa elimu. Ndugu napenda kuuliza jinsi (namna) ya kutuliza akili/fikra ili nipate kuiskia sauti na kuona nuru yangu ili nipate kusimama na shughuli moja, niache kutazama Kila fursa niionayo au kuambiwa. Asante, Nawakilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.