Search results

  1. MBIIRWA

    Kiwanja kinauzwa

    Ukubwa wa kiwanja ni hatua 20×40. Kipo umbali wa km 1.5 kutoka barabara ya morogoro kuelekea Simbani/Halmashauri ya Mji Kibaha. Bei shilingi 5.5 M. Njoo PM.
  2. MBIIRWA

    Barabara ya Morogoro haipitiki baada ya kutokea ajali

    Kuna foleni kubwa iliyosababishwa na ajali. Magari yanayotoka Barabara ya chalinze-segera na morogoro mnashauriwa kupita Njia ya msata-Bagamoyo-Dar.
  3. MBIIRWA

    Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Mnyika, Mdee, Pauline Gekul na Machali wanajitahidi kukwamisha bajeti ya maendeleo inayoonekana kuwa ni ulaji badala ya kuwanufaisha wakulima. Wabunge wa CCM wanaonekana kutowaunga mkono.!!
  4. MBIIRWA

    Chadema itavuka salama - m/kiti

  5. MBIIRWA

    Nelson mandela, kiongozi aliyetokea kuwa na moyo wa pekee duniani ktk karne ya 20

    Kiongozi huyu hata baada ya kufungwa gerezani kwa kipindi cha miaka 27 hakulipiza kisasi baada ya kuwa Rais. Viongozi wa Africa na dunia nzima lipi wajifunze kutoka kwa shujaa wa Afrika. Je ingekuwa wewe usingeng'oa meno na kucha wabaya wako. Embu funguka
  6. MBIIRWA

    Unafiki wa TBC

    Wadau tangu CHADEMA watangaze mgogoro wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), TBC1 walisusia kurusha hewani taarifa za CHADEMA, chakushangaza baada ya kusimamishwa uongozi ZZK na Dr. Kitilla Mkumbo wanatangaza habari za CHADEMA na kuwaonyesha wafuasi wa CHADEMA wakichoma bendera. Kweli TBC...
Back
Top Bottom