Search results

  1. C

    HUYU KIJANA ASAIDIWE KUPATA ELIMU YA JUU

    MH MBUNGE ZITTO ZUBERI KABWE ALIKIRI KUSHIKWA MKONO KTK ELIMU YAKE NA MAREHEMU SAMWEL SITTA (R.I.P) LEO WEWE UKO WAPI? MSHIKE MKONO KIJANA. WABUNGE WOTE NA WADAU MBALIMBALI MSAADA WENU NI MUHIMU SANA. #WATANZANIA NIMEONEWA#bado nina ndoto ya kusoma* *#NishikeMkonoKatikaSafariYanguYaChuo*...
  2. C

    Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

    Uwiiiii Munkari mbavu zangu mie mkoa gan huo walokupeleka nimechekaje ........ you made my day. ila pole sn fanya mchakato wa kuhama ila uctoke kinyemela mg dear
  3. C

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia kutoka kwa wakuu wa shule waliokuwa na kikao na Naibu waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi hapo juzi Mkoani Iringa, mhe. Jennista Muhagama naibu wa wizara hiyo alionekana kuwasihi sana wakuu hao wa shule kuwa wavumilivu na moyo wa subira kwa upungufu...
  4. C

    Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

    Utaelewa kesho we si ni slow learner maccm mna mtindio wa ubongo akili yako ndogo lazima utawaliwe na akili kubwa gifted tumempata sana
  5. C

    Mjane wa Mwangosi akiri kupokea fedha kutoka kwa Mch. Msigwa

    Its true baba V akili ya chris lukosi huwa anaijua mwenyewe maccm wanatakiwa kutathmini watu wao walionao kuwa hawana facts kabisa tutegemee nini wananchi kuwapa uwakilishi watu kama hawa
  6. C

    Zitto: Tuhuma dhidi yangu ni uongo na uzushi zimetengenezwa kwasababu za Uchaguzi wa ndani

    You thought beyond Zitto hajielewi ni sawa na mafisadi ccm kuweka kila cku hotuba za baba wa taifa zinazowasema wao wenyewe lkn bado wamekazana kuwasikilizisha wananchi cjui ule nao ni utamaduni kwao au kuchanganyikiwa. so well said kwamba Zitto ni mama wa vifaranga
  7. C

    Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

    Hata mimi ningekuwa kiongozi nisingekuwa tayari kumruhusu zitto agombee uongoz wa chama kwa sasa hana nia ya dhati na chama, kuna ukweli ndani yake kwa nini iwe kwake wakati CDM ina wabunge wengi wenye hoja , sera na uwezo kina mnyika, msigwa, wenje,mdee nk kama lengo ni kutaka asigombee kwa...
  8. C

    Ngome ya Zitto Makao Makuu ya CHADEMA Kuvunjwa Wiki hii

    Huyu Zitto nilishaona tangu awali kuwa sio mpiganaji wa kweli ukitofautisha na kipindi cdm ikiwa na wawakilishi wachache sana bungen badala yakuongeza nguvu kwa sasa wakiwa wengi yeye analeta mitafaruku ana ubinafsi wa kutaka kufanya mambo pekee yake
  9. C

    Wanawake mna magonjwa mengi jamani!

    Naungo mkono hoja wanawake bhana miili yao ni complex sana nilikuwa nampango after 5 years to come kuoa lkn baada ya kuona hiyo mambo nimeongeza 5 mingine utafurahiaje maisha hata kama unapesa huku mwenzio kila cku anasumbuliwa mara tumbo, ulcers etc bora aumwe mume maana ke wanatiaga huruma...
  10. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Hoja zenyewe zko wapi maana mara kichaa wako mara bichwa ndo hoja hzo
  11. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    bathi thawa maana yakikupata ucje muanzishia thread mmu
  12. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Cna tatizo we c ushajipatia mwanaume pesa sura tutavumilia
  13. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Kama kuna mazingra ya namna hiyo basi yapaswa kuishi kwa tahadhari lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja
  14. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Nipate hasira za nin na maneno yako kaa maji ya kilimanjaro ukiona unahasira jiondoe maana utaharibu cku yako bure
  15. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    mmmh tz nayo hongera bhana ndo unayoifahamu ni hiyo tu
  16. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Beyond your scope! Watoto wasije anza kutengenezwa online bure
  17. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Ukichoka unafunga hujalazimisha kujibu kila comment kama una ample time fanya au ndo nyie mnaoshindaa mmu ili kutokuwa kiguu na njia na umbeya
  18. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    dont urgue with a fool people may fail to notice the difference" kama mi kichaa nawe pia kwanin povu likutoke
  19. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Inawezekana we c kokoto kichwa ngumu hutonielewa gesi imekujaa san ikipungua utanielewa
  20. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Bila shaka unahusika mbona umejaa gesi sana
Back
Top Bottom