Hilo ni tangazo Lima toka nchi za wenzetu kwa mfano wewe mtanzania unataka kwenda shule nje na pass yako mwisho 2020 na shule yako ni ya zaidi 2020 hutoruhusiwa kusafiri na pass ya zamani kwa kuwa itakukuta haupo kwenu na kule utapokuwepo itakuwa ilishamaliza muda wake nadhani hapo tumeelewana
Kuhusu wanawake police ni sheeda kwa umalaya nirudi kwako mwenye range kwanza hiyo gari sio yako ndio maana povuuuu pili ungekuwa mmiliki usingebishana na huyo dada muda wote asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.