Search results

  1. K

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ndugu mhariri, Napenda kutumia nafasi yako adhimu kumfikishia Rais wetu mpendwa Comrade John Pombe Magufuri ushauri wangu binafsi kuhusu wimbi hili zito tunalopitia la mheshiwa Tundu Lissu kuyanadi hayo anayoamini huko Ughaibuni, hakika hili sio jambo dogo hata kidogo ni bora busara itumike hasa...
  2. K

    Escrow Account Yazidi Kutuumiza

    Ama kweli wahenga walisema adui yako muombee njaa. Escrow account sasa ya sababisha kupanda kwa bei ya pesa za kigeni na kuonyesha shahili dhahili madhaifu ya serikari katika kujenga uchumi isipokuwa kusaidia kuubomoa. Hakika hakutakuwa na mabaliko daima dumu bila watanzania kufanya maamuzi...
  3. K

    Ni TPDC kampuni au TPDC University?

    Kwa namna moja GPA. ni kipimo sahihi cha kushort list applicants wa kazi iliyotangazwa na hasa kwa wale fresh from school, lakini ni ukweli usiopingika kuwa GPA pekee si kigizo sahihi cha kupata watendaji sahihi. Kuwa na GPA kubwa si lazima uwe mzuri kiutendaji kuliko mwenye lower second achilia...
  4. K

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Juma Nkamia (Diploma in Mass communication), Jenister Muhagama (Diploma in Secondary School Teacher - Korogwe ttc), hawa in technical personnel katika field zao with little managerial attributes/skills, sasa ni naibu mawaziri, mmmh! Labda wana vipaji visivyohitaji msasa wa elimu dunia.
  5. K

    Professor Muhongo na sera ya umeme vijijini

    1. Serikali haina pesa za kulipa fidia kwa wale wote watakaoathiriwa na mradi wa umeme vijijni. 2. Watakaodai fidia itabidi wasubiri mpaka pesa ipatikane, hivyo tutaendelea na wale walioafiki kutodai fidia ili kuharakisha maendeleo. (29/12/2013 – Butima, Musoma) Huu ndio...
  6. K

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Juma Nkamia ( Diploma in mass communication), Jenister Muhagama (Diploma in Secondary School Teacher - Korogwe ttc), all these are technical personnel with little of management attributes/skills na sasa wamechaguliwa manaibu waziri, mmmh!!! labda wanavipaji visivyohitaji kunolewa na elimu dunia.
  7. K

    JK amteua Saada Mkuya Salum kuwa mbunge

    A diploma holder, kuwa bosi wa maprofessor inaswihi? Mr. president nashidwa kukuelewa!
  8. K

    Professor muhongo na sera ya umeme vijijini.

    1. Serikali haina pesa za kulipa fidia kwa wale wote watakaoathiriwa na mradi wa umeme vijijni. 2. Watakaodai fidia itabidi wasubiri mpaka pesa ipatikane, hivyo tutaendelea na wale walioafiki kutodai fidia ili kuharakisha maendeleo. (29/12/2013 – Butima, Musoma) Huu ndio...
  9. K

    Waziri Magufuli na Barabara ya Bwanga - Biharamulo

    Napenda kutumia nafasi hii kutoa dukuduku langu. ni miaka kadhaa sasa tangu mheshiwa Magufuri kuitenga kwa makusudi wilaya ya Biharamulo kwa kuinyang'anya barabara ya rami na hatimaye kuiacha katika lindi kubwa la umasikini kwani hata barabara iliyopo kwa sasa ni aibu tupu. ukisafiri kwa gari...
Back
Top Bottom