Wakuu naomba kujua sheria yetu inasemaje kuhusu waongoza wageni, je inaruhusiwa mtu ambaye si raia wa Tanzania kuongoza wageni ndani ya Tanzania ufafanuzi kuhusu guiding act inasemaje.
Nakumbuka siku tumechimbia chungu katikati ya uwanja wa Alli Hssan mwinyi tukakesha tunaulinda pia siku ya mechi nikaingia na kwama nikiwa nimevalia sket na t-shirt ya KAZIMA SEC jamaa nao wakaachia njiwa uwanjani akatua jukwaa kuu tukapigwa gori za fasta fasta nikatamani nivue nguo lakin baada...
Wana iringa si mambumbu kama mnavyofikiria wanamisimamo yao najua watu tutaenda kuwasikiliza ACT ila wasilogwe kumponda msigwa au CHADEMA watajikuta wapo wenyewe waeleze sera wataeleweka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.