Search results

  1. Mbrazili

    Sifa gani zinatakiwa kusoma certificate ya journalism DSJ??

    Wakuu msaada wenu...anayefahamu sifa zinazomwezesha mtu kusoma basic certificate ya journalism kwenye chuo cha DSJ tafadhali anijulishe hapa..
  2. Mbrazili

    Maumivu ya tumbo chini ya kitovu after sex

    Habari wakuu...naombeni mnijuze kitu kimoja kinanikwaza hapa....nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti kwa wakati tofauti pia,..kila baada ya kufanya mapenzi kesho yake lazima mdada aniambie anaumwa na tumbo chini ya kitovu...Naomba mnieleweshe nini kinasababisha hii hali???... #shukran
  3. Mbrazili

    Inakuwaje hii??...

    Habari zenu wakuu.....nauliza hivi kwa mfano umepewa mkopo na heslb.....,labda kwenye tuition fee ya 1500000 wakakulipia milioni 1 je ile laki 5 ambayo imebaki ni lazima uanze kulipia nusu yake semester ya kwanza then umalizie baadae au unaweza usilipe kabisa ukaja kutoa yote laki 5 semester ya...
  4. Mbrazili

    Nimepoteza result slip....itakuwaje???

    Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni juzi nimetoka kuichukua result slip yangu ya form 6 lakini imepotea katika mazingira ya kutatanisha.....je uko chuo itakuaje kwenye usajili au nifanyeje??....msaada wakuu nimekwama.
  5. Mbrazili

    Bachelor of banking and finance IFM

    Habari wakuu,ningependa kuijuia kiundani zaidi programme ambayo najiandaa kuikabili kwa miaka mitatu pale ifm yani banking and finance...kwa wajuzi wa mambo je inacover aspect zipi?? Ni kitu gani nifanye ili niweze kuimaster kwenye usomaji wake??? Na je vp IFM wenyew wana lecturers wazuri kwenye...
  6. Mbrazili

    Tcu washachafua hali ya hewa hukuu

    Jamani wazoefu msaada kidogo...nimetembelea profile yangu ya TCU leo karibu nizimiee.... Nimekuta selection zangu zote zimevurugwa vurugwa na nimewekewa mpya..mbaya zaidi hizo mpya zenyewe siendani nazo...mi nimepiga hge...sasa wameniwekea hivii 1. Bachelor of arts in french udom 2. Bachelor...
  7. Mbrazili

    TCU naandikiwa check in progress......ikoje hii???

    Msaada wenu tafadhali maana ugeni si kitu chema....nimeejaza fomu ya tcu tayari lakini pale kwenye selection status inasema not yet proccrsed na kule kwenye programs imeandikwa CHECK IN PROGRESS.....kwa juu pale wameandika kwa wote wanaokutana na iregibilty n ccheking progress waclick pale ila...
  8. Mbrazili

    Wenye div 3 kuachwa jkt ni ishara mbaya

    Mara ya kwanza nilivyoliona hili tangazo la jkt nilifurahia kwa kuwa nilijua si miongoni mwa wale watakaoenda kupiga kwata......lakini baada ya kukaa na kufikiria vizuri nimebaki na maswali mengi yanayokosa majibu kichwani....... 1.kwanini sisi tuachwe ina maana hatujafaulu ama nini??? 2.hisia...
  9. Mbrazili

    Ushauri kwa mara ya mwisho pleeeaase

    Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko kama ifuatavyo 1.Bcom in banking and financial services-UDSM 2-Bcom in Accounting-UDSM 3.Bachelor of...
  10. Mbrazili

    Msaada HESLB Pleaaase

    Wakuu naombeni msaada wenu hapa......nimejaza fomu ya mkopo online sasa pale kwenye index ya shule kila nikiingiza ikawa inaniambia school not found....baada ya kuona inanigomea sana nikaamua kwenda nayo ivyo ivyo nimefanikiwa kujaza details zote lakini tatizo linakuja kuwa jina la shule yangu...
  11. Mbrazili

    Kozi gani ya uchumi itanifaa nna div 3 ya 13

    Habari zenu wana jf.......wakuu naomba mnipe mwongozo wa kile ambacho ntaenda kusomea chuoni....nna div 3 ya 13 yenye ECONOMICS-D GEOGRAPHY-D HISTORY-E Pia nina F ya gs ingawa naona haitokuwa kikwazo kwani nusu yetu tumepata iyo........sasa nisaidieni faculty nzuri na ambazo marketable kwenye...
Back
Top Bottom