Kwa kweli kuna swala linaumiza kichwa sana nimejaribu kuuliza baadhi ya watu,wanaume na wanawake na ningependa tujadili na hapa.
Kwa sasa watu wengi hawapendi kutumia condoms katika mapenzi je ni kuaminiana kupita kiasi au ni vipimo vya macho.
Unakuta watu wanakutana mara ya kwanza wanaanza...
Kweli nakubaliana nanyi wadau mliochangia.ni wazi kabisa elimu ya sasa sio kabisa na nadhani hizi shule zipo kibiashara zaidi ns sio kutoa huduma.shule yenyewe ni St . Patrick sakina kwa Idd
Kuna tatizo kubwa sana linanisumbua juu ya mwanangu shuleni.
Yupo class one na ni shule nzuri tu tena English medium.Tatizo ni kwamba mwandiko wake ni mbaya kupitiliza, sasa nashindwa kuelewa walimu hawaoni au wako busy?
Swala la pili ni kuwa shule tunalipa ada kubwa tu lakini bado unaambiwa...
Hivi jamani hichi kizazi kinakwenda wapi? Kuna watu me nasema wamekua na tabia sio za kistaharabu hasa sehemu ambazo kuna watu wa rika tofauti.me nimekutana nayo kwenye basi.jamaa flani wanaongea kwa sauti mambo ya ndani kabisa tena matusi bila kuangalia kule kwenye gari kuna watoto na wazee...
Wadau hii imekaaje kwa wale wapenda michepuko, unanyumba unaishi na familia yako then labda wanasafiri una mpeleka kimada wako na una lala nae na kufanya mapenzi kwenye kitanda kile kile unacholala na mkeo.
Au upo mbali na familia kikazi lakini una chumba au nyumba na mkeo huwa anakuja...
Wadau hii me naona inanichosha.Wazazi tunatumia hela nyingi kusomesha watoto tution na gharama kibao za vitabu na vifaa vingine,bado ukija nyumbani ukifanya homework na mtoto ni madudu matupu.Mwandiko na uelewa ni hovyo kabisa.
Naomba ushauri jamani au walimu wa siku hizi wako busy hata watoto...
Kamanda kama upo ktk ndoa na nitegemezi ilihali upo safi kiafya looh.kazi ipo.bt kama bado kijana na haujaingia ktk hayo majukumu vuta subra mda utafika ndio utaekewa nn namaanisha.
Wangekua wasaidizi hata hizi kelele usingesikia.hela au kipato cha mke hakijulikani kinapokwenda kamwe.hata kiberiti kwao shida kununua.Nawapongeza sana wanawake wanaojitambua licha ya kuwa ni % chache sana.
Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo Ada,chakula,matibabu,mavazi,mapambo ya nyumbani,kiwanja,gari,nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.
Kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.