Search results

  1. H

    Halahala CCM na Nchemba wenu!

    Kwani ukimuuliza Mwingulu Nchemba atakuambia sio BIBLIA kwake??? DON'T PICK and CHOOSE RELIGIOUS BOOKS TRUTH MATTERS!!!! Hapa ni Mahali pa SIASA; DINI ni IMANI BINAFSI!!!
  2. H

    Vitalu vya uwindaji: Kagasheki ashitakiwa Mahakama Kuu

    Yaani kila anayepangwa Wizara ya Maliasili na Utalii lazima awe MWIZI?
  3. H

    Vitalu vya uwindaji: Kagasheki ashitakiwa Mahakama Kuu

    Tue, Apr 23rd, 2013 A company dealing with hunting blocks business, Foa Adventure Safaris Limited, has filed a suit at the High Court in Dar es Salaam challenging a decision by the Minister for Tourism and Natural Resources regarding allocation of hunting blocks. In particular the applicant...
  4. H

    Lipumba: Spika anafanya Upendeleo Bungeni.

    Oh yeah kwani CHADEMA wanasema nini kuhusu PROFESSA?
  5. H

    'He pulled my testicles and has left me impotent', says Kenyan referee after alleged assault by coac

    Ah usicheze na MAKOCHA wa TIMU za KENYA... wanakuvuta naniii kiasi hicho???
  6. H

    'He pulled my testicles and has left me impotent', says Kenyan referee after alleged assault by coac

    By ANDY JAMES PUBLISHED: 07:22 EST, 22 April 2013 | UPDATED: 07:22 EST, 22 April 2013 A Kenyan referee is suing the national football federation, saying he was left impotent after a coach grabbed and squeezed his testicles in a pitch invasion. Referee Martin Wekesa is seeking £158,000 in...
  7. H

    Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

    Kwani NCCR-MAGEUZI wanao hao Marafiki toka NCHI za KIARABU?
  8. H

    Kinana atumia dk zaidi ya 45 kuiongelea CHADEMA

    Na HAJUI HISTORIA... NYERERE alikuwa anamsupport SAVIMBI kabla ya Agustino Neto... Baada ya Savimbi kwenda vichakani kupigana ndipo NYERERE akaachana nae... kumsupport NETO
  9. H

    Picha: Tapeli anayetumia jina la Waziri Lukuvi amtapeli Lowassa mkoani Iringa...

    Kiherehere hicho au NINI? Kuwa kiongozi wa MFANO? hivi LUKUVi hayuko kwenye short list ya URAIS?
  10. H

    Picha: Tapeli anayetumia jina la Waziri Lukuvi amtapeli Lowassa mkoani Iringa...

    maofisa wa polisi mkoa wa Iringa wakiweka mtego katika nje ya ukumbi wa St Dominic ili kumnasa tapeli huyo anayejiita ni mtoto wa waziri Lukuvi na kutapeli watu Tapeli anayetapeli watu maeneo mbali mbali ya Tanzania kupitia jina la waziri Lukuvi akiingizwa ktk gari...
  11. H

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    Nadhani ndio RUGE MUTAHABA aliwawakilisha IKULU kuhusu suala hilo' nadhani hata Rais analijua kwahiyo kuilalamikia SERIKALI sio MBAYA huo unatakiwa ni kuwajibikwa kwa watu wa chini haimgusi RAIS ambaye ndio DIAMONDO anamfanyia kazi
  12. H

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    Kubwa kivipi? aliingia kwa UBAVU asingetakiwa kuwa Rais wa NCHI..
  13. H

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    Anasema Anafuata MAADILI ya Waasisi; Kwanini hawataji Majina??? Hao waasisi NYERERE sio MMOJA wao hata Kidogo ndio Maana anakimbilia huko kwa Waasisi; ni wale wa DAR...
  14. H

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    Kikwete: Nchi haijanishinda JUMATATU, APRILI 22, 2013 05:36 NA PATRICK MWILLONGO, BAGAMOYO *Awataka Watanzania kubeza uzushi, adai anafuata maadili ya waasisi KWA mara ya kwanza, Rais Jakaya Kikwete amewabeza watu wote, wanaodai kuwa ameshindwa kuongoza nchi. Akizungumza na Watanzania...
  15. H

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    Aache kukufuru... Bila Serikali ya CCM yeye na Madansa wake wasingeijua USA ikoje; Lazima awachezee kokote wamempeleka sehemu asingezikanyaga yeye na Madansa wake... na kukaa hoteli swafi bila bughudha ya chakula; Malipo
  16. H

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    Bila kumsahau MLETA WATEJA bila yeye nadhani NAPE na KINANA wangekuwa wanaangaliana na MAGARI yao ya kifahari na Wanamlipa VIZURI haswa angalia picha yake CHINI...
  17. H

    Iringa: Lowassa akabidhiwa tuzo ya heshima

    Naona Kiswahili kinanipiga CHENGA wanasema LOWASSA kafunika IRINGA; Sasa sijui kufunika ndio nini... Sababu hata KINANA na NAPE walifunika MOROGORO... Sijui Wanafunika nini??? ** MBONA Anakwenda kwenye DINI hivi? ni wa kuogopa!!!
  18. H

    Iringa: Lowassa akabidhiwa tuzo ya heshima

    Kaimu Meya wa manispaa ya Iringa Vitus Mushi (kushoto) akisalimiana na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa baada ya kutua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Teresia Mahongo akimpokea Lowassa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa...
  19. H

    Msaada kwenye iphone

    You R Definately Right Jamii Forums haipo kwenye APPLE STORE any-longer Yeah kweli ni BORA kucheck na INVISIBLE MY DEEPEST APPOLOGIES!!!!
  20. H

    Msaada kwenye iphone

    Uh to search for JamiiForums in APPLE STORE you will need INVISIBLE as well ? kweli tutafika???
Back
Top Bottom