Search results

  1. K

    Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

    Kama kambarage aliacha mshahara na akawa anakula zawadi anazopewa wao wanashindwa nini. Kama kinjekitile alinyongwa baada ya kugoma kumeza maneno yake wao wanaogopa nini. Kama Mkwawa alijiua kuliko kujitoa kwa wajeuriman wao wanaogopa nini. Wakati wa kuandika historia ni sasa, Je wewe ni nguruwe...
  2. K

    Early human ancestors were .....

    Mfano sio kitu halisi. Tunatumia mifano ili kumfanya mwanafunzi aweze kutafakari. Watu wa evulution hawana imani kwa hiyo huamini mifano zaidi ya kitu halisi. Mungu ametuwekea mifano ili tumjue. Tazama mfano huu. <<Watu wengi wanatamani kuwa kama yesu lakini wanasahau kuwa yesu alikuwa analala...
  3. K

    Early human ancestors were .....

    Mwanadamu wa mwanzo ni Adamu na Alikuwa na akili timilifu. Hakuna mtu aliyekuwepo lakini maandiko na ishara za mungu zinadai hivyo. mungu anasema katika Quran kwamba wale wanao puuza ishara zetu hawataingia peponi mpaka ngamia apenye katika Tundu la sindano. Watu wenye hoja za evolution mwanzo...
  4. K

    Early human ancestors were .....

    Mwanadamu wa mwanzo ni Adamu na Aliku na akili timilifu. Hakuna mtu aliyekuwepo lakini maandiko na ishara za mungu zinadai hivyo. mungu anasema katika Quran kwamba wale wanao puuza ishara zetu hawataingia peponi mpaka ngamia apenye katika Tundu la sindano. Watu hawa mwanzo walikuwa binadamu...
  5. K

    Eti 60% ya Vijana MATUMAINI yao yapo CCM!!

    Matumaini ya vijana yako kwa mungu. usiseme CCM au CHADEMA. Hivi ushafikiria kile kitengo cha propaganda na uenezi nichanini. ninavyo jua mimi propaganda ni uzushi (bidaa). Nabii muhammad alifundisha kwamba kila uzushi ni motoni na nabii kambarage alitufunza kusema "nitasema kweli daima fitina...
  6. K

    Makala: Ukiona adui yako anashangili unachokifanya kiache, akichukia unachofanya usikiache....

    Mwenge ni ishara ya nuru. watanzania mkiwa na mwenge mtamulika na kuishi usiku kama mchana. Tukilala usiku CCM watavua gamba kama nyoka na kututemea sumu. Mwenge ulikuwa na maana kubwa kwa sababu ulisaidi kutoonesha vichwa vya kututoa kwenye pango la giza. Lakini sasa hawa wahuni wanafanya uongo...
  7. K

    Askari magereza atuhumiwa kulawiti raia

    Amkeni nyie mazombi, Wengi wanaolala na wanaume ni mashetani wasiojiamini ambao hawaridhiki kuwa sawa na wenzao, hivyo hutafuta wenzao wawasujudie na kuwatia ubovu (adamu alipokuwa bustanini alidanganywa na ibilisi ale tunda ili awe sawa na mungu) mfano wa tunda ni kutoa section B ukidanganywa...
  8. K

    Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Nimependa sana post hii kwani imenipa habari ya jambo ambalo nimekuwa nikitamani kulifahamu sana
  9. K

    Leo tunakumbuka miaka 91 tangu Kuzaliwa kwa Mwalimu Nyerere

    Alikuwa shujaa wa taifa lake na afrika kwa ujumla. watu waliokuwa na tabia za kupenda kuonea wenzao walikiona na wanamuogopa sana kwani alikuwa mkali. Kuna watu wanashindwa kutofautisha tui na maziwa kwa hiyo wameliwa na wajanja ambao humsingizia Kambarage Uwongo. Kambarage mbatizaji ameleta...
  10. K

    Serikali ya WAKULIMA

    Democracy bring leaders who have no confidence in their financial security. they treat the 5 or 10 years term like havesting time. Our solution is Kingdom of heaven under messiah. Mwenge (nuru) mean CHRIST. PALE GIZA LINAPOKUWA TOTORO JUA YA KWAMBA ASUBUHI INAKARIBIA.
  11. K

    Siri ya Mwenge wa Uhuru

    Enyi kizazi cha upinzani mwenge ni ishara ya nuru itakayo mulika mpaka nje ya tanzania. Kizazi hiki huamini ishara zaidi kuliko maneno. Nyerere ni yohana mbatizaji aliyekuja kuwaandaa watu wampokee Kristo. Alichofanya ni kuuandaa mapito ya bwana. Wala hakuwa mkorofi, babu zenu ndio wakorofi...
  12. K

    Nyerere afunguka kuhusiana na udini wa rais

    Kambarage ni The king of Tanzania. Hii ni nchi yake ambayo amepewa na mungu aikomboe na aijenge. Alijitolea sana kwa nchi yake hata akajisahau yeye mwenyewe lakini watanzinia walikuwa wanakalia akili zao waliutamani sana ukambarage. Maisha ya kambarage ni mpango uliopangwa vyema na Mungu. ili...
  13. K

    Messiah compearing Iran and Tanzania. His steping stones toward the Kindom of God

    Let us take a short survey and compare the two weak nations of Tanganyika and Iran before 1960 and currently weak nation of Tanzania and strong nation of Iran -> Tanganyika gained freedom after mobilization and unity as a nation with one swahili language under the leadership of the Hero named...
  14. K

    Kama unataka chumba maeneo ya Mwenge Napangisha

    Hii inaonesha usivyo mjua mungu. Ukahaba na uzinzi ruksa lakini ndoa no. Jaribu kuwa na mtazamo chanya juu ya mapenzi na ndoa. Yesu au Muhammad wanaku-dislike vibaya sana
  15. K

    Habari isiyosimuliwa juu ya Kambarage Nyerere

    Eliya ni nabii aliye ishi kablaya nabii Elisha. Eliya alifanya mambo makubwa kwa ajili ya kutaka kuokoa taifa la Israel dhidi ya laana ya kuabudu sanamu. Alikuwa akipambana dhidi ya wafalme dhalimu na akawatawaza watu watatu kuwa wafalme badala ya madhalimu,mwisho kabisa kazi ya ukombozi...
Back
Top Bottom