Dah Nilijua tu kuna watakaouliza hili swali tusipende kuendekeza udini nchini kwetu jamani.... Kibiti kwa asili wakazi wengi ni wa dini hio flani hivi ... what do u expect? hujaona hata mwandishi wa makala /habari hii ni wa dini hio?
Hongera jeshi la Polisi kwa hatua nzuri.
Inasikitisha sana... jambo hili linapaswa kufanyiwa kazi na kukomeshwa kabisa... kwanini askari wauwawe tu bila hatia??? na hao majambazi waliouwawa wajulikane vizuri ili hata waliobaki washughulukiwe lazima itakua ni timu kubwa. Sad.
Why would the kids be brought at the court in the first place? Don't they know that they are hurting them? or do they think having public sympathy is better than their children mental and psychological health? Who would like to have such memory of his/her father?
Msando, this Article is misleading. I will explain why, and please allow me to be brief.
I am not sure what are the basis of your above explanation as regard the concept of Money Laundering. However if you want to venture into Money Laundering (ML) in Tanzania (you can google, wikipedia etc.)...
Hahahaa umenichekeshaje na hio hypothesis yako? Kwaiyo na nyie ndio mkaamua kupiga kivyenu?
Halafu report ya CAG kuhusu NSSF imetoka natumaini umeisikia sikia...
Naona mwandishi amejichanganya kweli
Rais kasema atashusha kiwango cha mshahara ambao ni excessively high. Kwamba atafata utaratibu gani hio ni hatua nyingine.... Sasa unajuaje kama naye anapanga kufanya utaratibu kama ulivyoeleza hapo? Or even a better plan?
Wakati mwingine tunahitaji udikteta...
Umekazana kweli na kulinganisha mafanikio hebu twambie wewe ni yapi? manake utaanza kututajia majengo na uwekezaji. Unasahau kwamba mifuko ya jamii huduma ya kwanza na ya msingi ni kulipa mafao sahihi na ndani ya wakati.
Halafu usifikiri kulinganisha mashirika ni rahisi kihivyo.. kuna vigezo...
Si ndio hapo sasa? nothing special.... halafu amekaa NSSF miaka 15! hata Rais akikaa sana ni miaka 10..alitaka nini tena? ye aondoke zake tu kimya kimya...watu wapokee kijiti.
Kawaida taarifa kama hizi official kutoka kwa DPP zinatolewa Kwa barua. Hata kama mzazi alionana na DPP lazima majibu haya yalitolewa kwa undani kwa barua. Hio barua ingewekwa hapa ili sababu zijulikane kwanini kesi imefungwa?
Kisheria ktk kesi za mauaji kuna principle kwamba 'the last person...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.