Hahahah afu kama msomi HAKUNA HATA SIKU MOJA barua ya kiofisi isiwe na HEADING PLUS LOGO YA COMPANY JUU, ungejaa ulikua unakula za uso! Ao ndo wa2 wa WestAfrica wamechangamka sana!!
Mi nadhani hiyo ni dhana potofu tu na
imejengeka na imekuwa kama ndio imani ya watu,
but kiukweli sihisi kama kuna ukweli wowote kuhusu hili
Urefu au ufupi wa vidole si kipimo
cha.........tafadhali bwana, ebu tutakane
radhi!
The great question... which I have not been able to answer... is, 'What does a woman want?
Sigmund Freud
Man, huyu Sigmund Freud hajui kweli au anatuenjoy.......!
To help him, may be atry asking himself, what does he want
From a woman, then opposite yake.......
Kichaa: Mi kila nikilala naota manyani yanacheza futbol
Daktari: Hamna shida, ntakupa dawa uanze kutumia na
kuanzuia leo hutaota tena.
Kichaa: Aaa....! sa si bora nianze kutumia kesho maana
leo ndo fainali.
we we we, huyo kikongwe ujana wake ale na nani ubabu wake amalizie kwa watoto wa watu, ukiangalia hat interval ya umri almost wote wawili anawazaa
Kaka wa shule aende shule, huyo babu wa miaka 42 anajifia muda sio mwingi sana.
Hivi vitu na haya mambo yapo jamani sioni sababu ya ako kabinti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.