Search results

  1. J

    Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Nakusihi sana usisahau kusoma research na kuielewa. Mwaka fulani katika usaili wa mchujo wa kada hiyo tulipewa maswali ya research tu. Wale ambao tulipitia research kwa juu juu, tulipata tabu sana. Bila shaka kitabu hiki kitakufaa
  2. J

    Hii kitu Isemwe na Irekebishwe (PSRS) Majina ya Oral Interview Kutolewa Usiku Saana

    Usisahau kugusa research tafadhali. Mara nyingi mkiitwa kozi mchanganyiko, maswali ya research yanatawala.
  3. J

    Betting ni biashara inayolipa, mpaka radio zimeamua kuachana na malengo ya msingi zimehamia huku. TCRA mpo kimya tu

    Tena hao wasafi FM ndo wanakera mno siku hizi, kiasi kwamba hata sports arena imepoteza mvuto, wanatumia muda mwingi kuchambua chota mihela badala ya mpira, wachambuzi wamegeuka mapromota wa kamari.
  4. J

    Huyu Issa Bin Mariamu ni nani? Uhusika wake ukoje?

    Surat Al I'mran kuanzia aya ya 33 hadi 48
  5. J

    Quran: Huyu Issa bin Maryam ni nani? Kwanini aitwe hivi?

    Soma Surat Al I'mran kuanzia aya ya 33 hadi 48
  6. J

    First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    Hiyo iko wazi, nenda UD kijana ila jipange kukomaa sana maana pale hakuna masihara na shule. Usidanganywe na watu eti ooh pale magumashi ooh kilienda kikarudi, ni wivu wao wa kik.e tu.
  7. J

    Civil Engineering UDSM

    Kulipia % ya tuition fee( endapo hujapewa 100% na bodi ya mikopo), pesa ya malazi na direct cost, maadam uwe na account number ya chuo.
  8. J

    Civil Engineering UDSM

    Waweza fanya popote, hata mimi kipindi kile nilifanyia kitaa. Labda kama utaratibu umebadilika.
  9. J

    Civil Engineering UDSM

    Cha msingi uwe na hata cha form four maana kina picha yako pia. Results slip ya form six pia, kama alivyosema mdau. Mimi binafsi nilitumia result slip ya f6.
  10. J

    UDSM on Air...

    Registration number ipo kwenye admission letter ambayo utapewa ukiripoti hiyo tar 8. Andaa chochote kati ya result slip ya f6, certificate ya f4 au cheti chochote cha kukutambulisha. Mambo yapo systematically usiwe na wasi ndugu.
  11. J

    Civil Engineering UDSM

    Kwanza, nikupongeze kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa. Civil engineering ni kozi nzuri sana kwa ujumla kwani itakupa ujuzi wa kiuhalisia na sio mambo ya dhahania. Utadesign structure na utaona uhalisia wake ikisimama. Civil engineering inajumuisha sub-courses tatu ambazo ni Irrigation...
  12. J

    Hongera kwa wote waliochaguliwa kwenda UDSM

    Jamaa hana mchezo kwenye kazi. Nasikia pia ni complicator, mtakutana na mitihani yake mirefu kama report ya CAG. Ila usiogope, kapige msuli sana utatoboa. Mechanical ni kozi nzuri sana japo ni ngumu vile vile. Cha msingi sasa focus kwenye kupiga msuli, kuelewa vitu na kuwa nondo, mengine...
  13. J

    Hongera kwa wote waliochaguliwa kwenda UDSM

    Hapana, nilikuwa Civil ila habari za Tesha nazifahamu kwa kweli.
Back
Top Bottom