Search results

  1. Kilasara

    TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

    Pole sana Maxcence Melo. Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi.
  2. Kilasara

    Maandamano Arusha 20/9/2014 Kutumika njia 6 tofauti

    Mbona Lizaboni unaonekana huelewi ? Maandamano yanaongozwa na makada wa CHADEMA; yakianzia mahala tofauti Jijini Arusha. Mhe. Godbless Lema anaratibu zoezi hili la kuthibitisha na kusimika Demokrasia na Uhuru wetu. Hakuna kulala mpaka kieleweke, hata kwako wewe Lizaboni.
  3. Kilasara

    Kuna ubaya gani CHADEMA wakiruhusiwa kufanya maandamano?

    Kwa taarifa ya LE Mutuz, ambaye anaonekana ni mwanae John S Malecela, aliyeshiriki kama Waziri wakati wa kutunga Sheria iliyoruhusu Vyama Vingi vya Siasa, Sheria inatamka kwamba Vyama vya Siasa vikishapata usajili, vina uhuru wa kufanya mikutano na maandamano kwa amani. Vyama havihitaji kibali...
  4. Kilasara

    Mwenyekiti Freeman Mbowe atazungumza na makamanda Makao Makuu ya Chama hivi punde

    Katika thread nyingine yako wewe mwenyewe Lizaboni umesema kwamba Mheshimiwa "alilazimishwa kushika ukuta" akifanyiwa hilo tendo ovu na polisi. Ndipo nikauliza kwa mshangao kama Polisi nao wamekuwa "mentally depraved" kiasi cha kufanya tendo ovu kama hilo kwa watu wazee.
  5. Kilasara

    Mwenyekiti Freeman Mbowe atazungumza na makamanda Makao Makuu ya Chama hivi punde

    Lizaboni, kwa nini kila unaporipoti Mheshimiwa ameshikwa au amesafirishwa na Polisi unadhani anaingiliwa kiinsia? Polisi wetu wamejidhalilisha kiasi hicho hata kuwaingilia wazee? Or are you depraved in mentality!!!!!
  6. Kilasara

    Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

    John Mnyika sio mtu wa Kaskazini. Muulize. Niliambiwa ni mtu wa Dar es Salaam, wazazi wake wakitokea ?Iringa.
  7. Kilasara

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Licha ya kwamba Profesa Safari ametaja sababu za kugombea Umakamu Mwenyekiti, nadhani huyu msomi hakutafakari kwa umakini na kwa kina, eti anataka kukomesha Ukanda, Udini, Ubaguzi wa rangi au Ukabila na Kijinsia, Umaskini na Ujinga pamoja na Ubadhirifu. Kwanza kuhusu Ukanda, CHADEMA...
  8. Kilasara

    Sababu mbili kubwa za Mkutano mkuu kuwarejesha Mbowe na Dr Slaa uchaguzi wa ndani 2014

    Edwin Mtei, Mwasisi wa CHADEMA alizaliwa Mchagga, hakuamua awe hivyo. Alitofautiana na Mwalimu Nyerere na kujiuzulu uWaziri wa Fedha, akimwita Mwalimu "Bwana Haambiliki!!" Sera zake za kiuchumi zimeigwa na CCM. Fursa ya kuunda Chama m'badala wa CCM aliichukua Mtei 1992. Bob Makani , Msukuma...
  9. Kilasara

    Maalum kwa wanaume waliolelewa na mama tu

    Nashauri usome Edwin Mtei's From Goatherd to Governor (Mchunga Mbuzi hadi Gavana wa Benki Kuu) . Mwasisi wa CHADEMA, chama kinachotarajia kuchukua DOLA, naye alilelewa na mama tu. Nimempigia simu kumwaririfu na kumsomea thread hii, akanijibu HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE ifikapo Oktoba 2015.
  10. Kilasara

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Hii ni tahadhari kwa Chama kinachotarajia kuchukua dola Oktoba 2015. Uongozi wa CDM jueni mbinu za hawa mafisadi na walanchi waliodumu kwa miaka 50.
  11. Kilasara

    Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

    Kutokana na kushuka mno kwa thamani ya Tsh, nashauri kila Mtanzania mwenye kuitwa ni bilionea agawe jumla ya fedha anazomiliki kwa 1700. Kama atabakia milionea basi ajue yeye ni MILIONEA!!!!!!!!!!. US $ 1.0 = Tsh. 1700. Kwa vile atakuwa anamiliki Dola za Merikani milioni hizo.
  12. Kilasara

    Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    You people have given Zitto Kabwe too much publicity. He is inebriated with his own verbosity.
  13. Kilasara

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Mh.Lissu Mwanaharakati na ICON ya Mageuzi ya Kisiasa Tanzania

    Mimi nashauri CHADEMA kwa mwaka 2015 wamteuwe tena Dr Willibroad Slaa kuwa Mgombea u-Rais ili atekeleze sera zake za 2010 ambazo zimelala kiporo. Dr Slaa ameendelea kuziboresha, na katika miaka hii minne amezielezea sana katika hotuba zake kama Katibu Mkuu wa CHADEMA, nchi nzima. Ni ukweli...
  14. Kilasara

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Mwenyenzi Mungu akuimarishe wakati huu mgumu kwako Mheshimiwa Zitto Kabwe. Pia aipokee na kuilaza roho ya Mama yetu mpendwa mahala pema peponi. AMINA!!!
  15. Kilasara

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Mbona Mzee Mtei Mwasisi wa Chadema alimwandikia ZZK dakika chache tu baada ya raarifa kutolewa?
  16. Kilasara

    Tambo za waziri Muhongo

    Hon. Prof. Muhongo might have got high marks in his academic career. He ought however to have learnt that great men are humble and, above all, always attempt to cultivate the respect and appreciation of ordinary folk who are the majority of this world. Extravagant, bombastic bravados and...
  17. Kilasara

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Rashidi Mfaume Kawawa, Abdallah Saidi Fundikira, Tewa Saidi Tewa, Sheikh Amri Abeid, Humbi Ziota, Chief Adam Sapi Mkwawa, Amir Habib Jamal, Abdulrahman Mohamed Babu na Idrissa A. Wakil wote walikuwa Waislamu walioteuliwa na Nyerere katika Baraza lake la Mawaziri mwaka 1964, Kawawa akiwa Waziri...
  18. Kilasara

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Picha ya hawa waasisi ni ya mwaka 1968. Miaka 7 baada ya Uhuru, Rais Nyerere akiwa nao kusherekea!!! Mbona unamaanisha walisahaulika? Uhuru ulipatiana mwaka 1961; na kama Rais aliweza kuwatembelea 1968, nadhani walikuwepo kwenye sherehe za UHURU. Kila mmoja wetu ni lazima akutwe na mauti na...
Back
Top Bottom