Search results

  1. yogan

    Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Na kikubwa zaidi mkulima atapata zaidi ya anavyopata sasa wananyonywa Sana
  2. yogan

    Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Tukifanikiwa hawa bidhaa nyingi za masokoni zitashuka bei na mtaona maumivu ya ughali WA maisha unapungua
  3. yogan

    Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Huu ni utaratibu unaoratibiwa na masoko niliyoyataja
  4. yogan

    Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Tuwaamshe Kwa kweli hili Jambo linamfanya mkulima anakuwa Masikini kila siku. MADALALI hawana uchungu na mali za mkulima hata kidogo ona hapo ndizi zimeoza wamegoma kushusha bei basi wangetoa hata sadaka Tu lkn MADALALI wamekomaa sana
  5. yogan

    Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Yaani zaidi ya kibaka aysee hawa jamaa ndo wanaleta maisha magumu kwa wananchi
  6. yogan

    Kwanini madalali wameyashikilia masoko na kusababisha bidhaa kutoshuka bei?

    Mimi ninauza genge la mboga mboga na matunda.Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa biashara katika masoko ya jijini Dar es salaam kama Mabibo, Buguruni, Temeke, Stereo na Ilala. Katika masoko yote haya hakuna mkulima anaruhusiwa kuuza BIDHAA zake sokoni. Mzigo unapofika sokoni...
  7. yogan

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    19April Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
  8. yogan

    Je, ni sahihi kwa waislamu kufunga barabara kisa wanaswali?

    Muda wenyewe mchache Sana nadhani halifiki hata saa moja nadhani linavumilika ! Kinachotokea ni kwamba msikiti unakuwa hautoshi,hivyo watu hulazimika kutumia barabara Kufanya ibada hiyo...
  9. yogan

    Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

    Ni kweli anasoma lkn aende mara nyingi Sana ndo ataelewa vzr
  10. yogan

    Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

    Wanaojua watakuja kukujibu. Ni swali zuri bila Shaka tutafaidika wengi likijibiwa!
  11. yogan

    Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

    Yangu macho Tu... Yaan Nabii anapigiwa Debe na masheikh? Ajabu kubwa hii njaa mbaya sana
  12. yogan

    Utaalam wanaotumia Wachawi katika kuumiza watu

    Tupe jina lako na la mama yako halafu uone
  13. yogan

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Umejitahidi Sana kutuhumu kila kitu nikama unachuki kubwa Sana na selian Hospitali.
  14. yogan

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Kweli Bora umelileta Jambo hili hapa. Utapata ushauri na misemo ya kukuvunja nguvu na kukuinua pia. Mm nataka kukwambia kuwa Vijana wengi WA miaka hii hufikiria kuwa Mali za Baba au mama ni zao. Huwa hawajui kuwa Baba zao hawakupewa Mali na baba zao yaani Babu yako. Sasa ikiwa Mzee ameamua...
  15. yogan

    Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

    Kuna mmoja Naye kasema anapeleka mswada WA kumtoa Uspika
  16. yogan

    Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

    Hongera sana mshukuru Mungu Kwa hilo
  17. yogan

    Ungekua wewe ungefanyaje?

    Njoo nikupe eneo hapa Barbara ya swahili DSM unaweza kulipia laki 4 Kwa mwezi jamaa? Kama ndiyo njoo inbox
  18. yogan

    Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia GPSA baada ya kupata tuzo ya ku-supply kwa mwaka 2021- 2022

    Ahsante jamaa ngoja tujaribu tuone. [emoji120][emoji120]
  19. yogan

    Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia GPSA baada ya kupata tuzo ya ku-supply kwa mwaka 2021- 2022

    Hapana ni kwamba nilipata tuzo lkn pia ndo lazima ulipie tena laki moja. Shukran Kwa kujali
Back
Top Bottom