Search results

  1. J

    Elections 2010 Mdahalo - TBC Mchakato - Jimbo la Arumeru (Video)

    nice. ila, cheki watu wanavyoshangalia kabla hata ya kumsikiliza mgombea.
  2. J

    Vijana wa tanzania wamelala fofofo

    www.vijana.fm Vijana wa Tanzania tuamke! Tuwekeni visingizio pembeni. Maisha yetu ya baadae hayana budi kujengwa sasa hivi. Nina uhakika vijana wengi hamtaisoma hii makala kwasababu tu ni "ndefu"! Na Mkereketwa Unategemea kuona jinsi utawandazi unavyoathiri matendo na mawazo ya watu, hasa...
  3. J

    Elections 2010 Lipumba to be President...who is first Lady?

    Rais wa Botswana hana mke.Ian Khama - Wikipedia, the free encyclopedia
  4. J

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    Interesting article. Kwakweli viongozi wamezoea kuweka pamba masikioni.
  5. J

    Elections 2010 DR.Slaa Kuunguruma Jangwani Kesho tarehe 07/08/2010

    Pata updates hapa: CHADEMA TANZANIA (ChademaTz) on Twitter
  6. J

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Mkuu. Ninashukuru kwa mchango wako. The fact that you were born in Serengeti does not mean that your opinion on this matter should be the dogma. Mimi ni Mtanzania, na nina haki kama wewe kutoa maoni kuhusu ujenzi huu usiokuwa makini. Serikali ya Tanzania tumeizoea kukurupuka tu na kuweka mipango...
  7. J

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Soma ripoti kuhusu hili suala linalotoa onyo kuhusu uharibifu utakaotokea kwa ujenzi wa aina yeyote wa lami kuelekea mbugani Serengeti: African Wildlife Foundation Report Frankfurt Zoological Society Report
  8. J

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Serikali yetu imeamka na imegundua kuwa haina budi kuanza kujenga barabara nzuri kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kama una kumbukumbu nzuri, juhudi hizi zilianza kwa kujenga daraja ambalo lilitakiwa kuunganisha Tanzania na Msumbiji — tunajua matokeo yake. Wakati tunajua fika kuwa barabara...
  9. J

    Should Tanzanians living abroad be allowed to vote?

    Mpango wa kupiga kura nje ya nchi umekaaje? Kuna watanzania zaidi ya laki 5 nje. Hii ni haki yetu.
  10. J

    My welcome home; why did I ever come back again?

    huu mkasa haujanikuta mimi, ila nimeuona mtandaoni. Inaboa sana kusikia ishu kama hizi, binafsi haijanitokea ila nimekua nikisoma sana kwa mikasa kama hii pale kwa michuzi.
  11. J

    Jakaya Kikwete kuanzisha Chuo Kikuu cha Kilimo cha Mwalimu Julius Nyerere

    Hiyo ni ahadi yake au ni idea ya wengine? Tazama hapa: MNUWCSR - UWC Tanzania More like a college au high school inayopangwa kujengwa huko Mara na sio chuo kikuu. Na huu mpango niliusikia miaka kadhaa iliyopita.
  12. J

    My welcome home; why did I ever come back again?

    yale yaleeee! ----- VijanaFM Blog I’m always excited to come back home, Tanzania. And this time around, I was especially excited because I was moving back home. After eight years of living abroad, with two degrees and three years of work experience, I felt it was time to go home and...
  13. J

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Ningeomba wenye data mtupatie wasifu wa kiundani wa Prof Justinian Rweyemamu, yule mwanauchumi mashuhuri wa miaka ya '70. Msomi huyu alikuwa Prof. mwenye umri mdogo kuliko wote Afrika ya Mashariki akiwa pale UDSM, Economics. Does anyone have titles of autobiographies of prominent Tanzanian...
Back
Top Bottom