Search results

  1. Jembe Ulaya

    Sabodo kumchangia mgombea wa CHADEMA milioni 500

    Mfanyabiashara maarufu wa nchini, Mustapha Sabodo, ameahidi kumuunga mkono mgombea urais atakayependekezwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mkuu ujao. Sabodo alitoa kauli hiyo jana nyumbani kwake Dar es Salaam, katika hafla ya kukabidhi msaada wa kujenga visima...
  2. Jembe Ulaya

    Igunga: Kigogo wa CCM afumaniwa na mke wa mtu

    Mojawapo wa viongozi wakuu wa kampeni za CCM amefumaniwa na mke wa mtu gesti wakijivinjari. Mwanamke mwenye uhusiano na mratibu wa kampeni za ccm kapata kipigo cha uhakika imebidi alazwe hospitali. Mumewe aliyempa kipigo vilvile ni kada maarufu wa chama cha mapinduzi. Hata hivyo viongozi wa CCM...
  3. Jembe Ulaya

    Mfanyabiashara jamaa ya Mbunge akamatwa na Shehena ya Madawa ya Kulevya

    Ndugu wa mbunge anaswa na shehena ya Cocaine, Heroine na Mwandishi wetu MFANYABIASHARA anayedaiwa kuwa ni kinara wa biashara ya dawa za kulevya nchini, amenaswa na shehena ya dawa za kulevya aina ya Heroine na Cocaine. Mfanyabiashara huyo, ametajwa kwa jina moja la Asad na anadaiwa kuwa na...
Back
Top Bottom