Search results

  1. 24th DECEMBER

    Wapi wanauza car washer mchines?

    Naomba msaada kufahamu nitakapopata mshine za kuoshea magari hapa Tz au website yeyote
  2. 24th DECEMBER

    Toyota Voltz Vs Toyota Isis

    Mwenye ufahamu na magari haya ya aina mbili naomba msaada tafadhali. Ipi gari bora (uimara na kutulia barabarani) Toyota Isis & Toyota Voltz Ahsante
  3. 24th DECEMBER

    Ramani ya barber shop

    wadau kama kuna mtaalamu wa kudesign barbershop ili iwe na mwonekano wakuvutia ani-PM
  4. 24th DECEMBER

    Msaada biashara ya pafyum Zanzibar

    Wakuu habarini. Kama kuna mtu anafahamiana na mtu ninayeweza kumwagiza perfume toka Zenji aniunganishe nae, naskia huko bei za uturi ziko chini. Wasalaam...
  5. 24th DECEMBER

    Mshahara umetoka

    Kwa wale wakulipwa na hazina Jana jioni kulikua na ongezeko katika kibubu changu chakupokelea mshahara, mpunga umeanzia CRDB wa NMB kaeni mkao wa kula. Source: account yangu mwenyewe
  6. 24th DECEMBER

    Naomba ufahamisho

    Nauliza tu kwaupole. Hivi kuwa member wa JF unatakiwa uwe na uzoefu?? Na kama uzoefu usipungue muda gani?? Maanake member mgeni akileta/akichangia uzi utaona kuna mijamaa inamsakama "ooooh kwanza ni mgeni hapa jamvini" Au JF ni kwa wakongwe pekee? Sasa waanzilishi wangekua wananyanyapaa...
Back
Top Bottom