Search results

  1. F

    Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

    Basic salary huwa haishuki kamwe. Allowance tu ndo huondolewa
  2. F

    Serikali yanunua Pikipiki 68 kwa milioni 789.8. Hizi ni aina gani za pikipiki?

    Itakuwa ni Yamaha kubwa AG 200 zinauzwa 11m
  3. F

    Serikali yanunua Pikipiki 68 kwa milioni 789.8. Hizi ni aina gani za pikipiki?

    Yamaha AG200 zinauzwa milioni kumi na moja wakati Yamaha YBR 100 zinauzwa around milioni nane kwa moja
  4. F

    Mnaoishi na wenza mnawezaje kuvumilia mapungufu yao?

    Mkuu,una gubu la hatari. Sijaona kosa kubwa la binti. Zaidi inatakiwa umpe muda ajifunze vitu
  5. F

    Matokeo ya ACSEE 2008

    Ni kweli tupu,nilifanya huu mtihani,PCM,matokeo yalikuwa mabaya sana,wenzangu wengi walizungusha. Niliishia kupata D,D,D tu
  6. F

    Umri wa Kustaafu Watumishi Upunguzwe hadi Miaka 50! Miaka 60 ni mingi sana

    Umefikiria gharama za kuwahudumia hao wastaafu katika umri huo??
  7. F

    C

    is 7 7 e hmm 7 I .it cm uje x hm8m.
  8. F

    Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

    Baadhi ya mabenki wameshusha riba za mikopo,huenda hili ndo limefanya muone mabadiriko hayo
  9. F

    Naombeni ushauri kuhusu kusoma Masters

    Masters ni ubobevu katika eneo husika,tunategemea muhusika ujue unataka kubobea kwenye nini!!!
  10. F

    Safari yangu ya Dar-Njombe-Iringa-Dodoma-Tabora-Kigoma-Kasulu-Kibondo-Nyakanazi-Kahama-Singida-Dom-Dar

    Naiheshimu IST tofauti na zamani japo wakati mwingine unanyanyasika sana barabarani. Wiki mbili zilizopita niliitumia toka Morogoro mpaka Kibondo na kurudi bila shida pamoja na kupita barabara ya vumbi Kakonko mpaka Kibondo
  11. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Sehemu kubwa ya wilaya za Morogoro ikiwemo Mvomero na Kilosa mashamba makubwa yanamilikiwa na viongozi wakubwa wa serikali ambao walijimikisha wakati wa awamu ya tatu ya serikali
  12. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Inasemekana tatizo la kuhujumu uanzishaji wa viwanda vya sukari nchini ndo ulipelekea taasisi nunuzi kukaimisha ununuzi wa kiwanda kwa tanroad na ni kundi dogo sana la watu walijua hii kitu vinginevyo hakuna kiwanda ambacho kingejengwa
  13. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Ni sahihi usemacho,shida katika uagizaji wa sukari ipo lakini tunachobishania ni gharama na uwepo wa ujenzi wa kiwanda
  14. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Sijasoma lugha lakini kiwanda kina mkusanyiko wa mashine mbalimbali zitakazochakata malighafi ili kupata zao/product inayotakiwa
  15. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Ningetumwa nisingekuwa hapa mkuu. Hao waliotajwa wote hakuna hata mmoja anayenifahamu. Ukweli lazima usemwe
  16. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Aangalie comment namba 199 kuna picha za mkataba
  17. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Document ipo katika moja ya comment za uzi huuu
  18. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Mimi ni raia huru,taarifa ziko wazi,tafuta ziara ya Waziri Mkuu Mradi wa Sukari Mkulazi Augost 2021 utapata picha halisi ya mradi
  19. F

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Atakayepata nafasi apitie pia bandarini ajionee ni makontena mangapi ya mitambo ya kiwanda imeshafika mpaka sasa kwa jina la Mkulazi Holding Company Limited au aende Dakawa akajionee ujenzi unavyoendelea kwa kasi
Back
Top Bottom