Search results

  1. J

    Nahitaji gari aina ya RAV4

    Mkuu, bajeti yako ni shilingi ngapi? Uko mkoa gani? Ninayo Rav 4 T 515 CUX,ipo katika hali nzuri kabisa, tuwasiliane. 0783308062
  2. J

    Limbu abwagwa tena Mahakama Kuu

    Mnyabwilo, Karibu sana nyumbani hapa upafahanu mkuu. Jisikie huru kabisa
  3. J

    Limbu abwagwa tena Mahakama Kuu

    Asante sana Mnyabwilo. Habari za siku nyingi na mambo yanakwendaje mitaa ya huko kwenu?
  4. J

    Limbu abwagwa tena Mahakama Kuu

    Mayenga, Mimi nimehusika kama wakili tu wa akina Mwigamba,si vinginevyo mkuu. Kama wakili ninapopata mteja tukielewana "fees" wajibu wangu ni kumuwakilisha mahakamani kwa kutetea kesi yake au kesi dhidi yake
  5. J

    Limbu abwagwa tena Mahakama Kuu

    Magwangala, Mimi nimehusika kwenye hilo shauri kama wakili tu na si vinginevyo. Mwigamba na wenzake walikuja ofisini kwetu wakatupatia instructions za kuwawakilisha,nasi tumefanya hivyo kwa niaba ya wateja wetu na tunashukuru wameridhika na huduma na representation tuliyowapatia kama ofisi...
  6. J

    Hofu ya Mwigulu Nchemba ni hofu ya CCM?

    Mdogo wangu Petro, Kuna maneno kwenye Biblia yanayosema "sema kweli daima na kwa kusema ukweli utakuwa huru". Naamini minyiroro iliyokuwa inamsumbua Mwigulu imemtesa sana,sasa anarudi kwenye mstari na kuanza kuiona kweli na kuisema kweli ili awe huru. Naaam,wito wake kwa wajumbe wa BMLK...
  7. J

    Alilolisema lukuvi jana kwenye mdahalo wa udasa linashitua na linaleta maswali mengi kuliko majibu

    Na tena nilijiuliza, kama kweli Mzee Warioba ametoa hayo yanayodaiwa kuwa mapendekezo, basi aliyatoa akiwa katika hali gani? Chini ya mtutu wa bunduki? Maana hii serikali kwa kweli, daaaaah, ndiyo BRN lakini!!!
  8. J

    Alilolisema lukuvi jana kwenye mdahalo wa udasa linashitua na linaleta maswali mengi kuliko majibu

    Ndugu zangu watanzania, Kwa wale waliofuatilia mdahalo wa jana unaosemekana kuandaliwa na UDASA pale Nkurumah Hall walimsikia ndugu Lukuvi wakati akitoa maneno ya kufunga mjadala ule akisema kuwa Jaji Warioba ameipelekea serikali mapendekezo yake ya nini kifanywe kwa ajili ya kuendelezwa...
  9. J

    Taarifa kwa Mawakili Wasomi wote

    Msomi mwenzangu Petro Eusebius Mselewa, asante sana kwa taarifa ya kutukumbusha kuhusu jukumu hilo la kulipia ada zetu za uwakili. Ofisi imepanga kuyakamilisha hayo yote kesho, Mwenyezi Mungu akitupa uhai. Naendelea kufurahia ushindi wa kesi ya Jamhuri dhidi ya Samson Maingu Mwigamba. Karibu...
  10. J

    Absalom Kibanda na Theophil Makunga waibwaga serikali kesi ya uchochezi

    Mkuu righteye, usiwe na mhemko wa kisiasa unaokosa weledi wa kuchuja mambo. Kesi iliyokuwa inamkabili Samson Mwigamba ni ya kuandika makala iliyokuwa inadaiwa na Jamhuri kuwa ni ya kichochezi. Kesi hiyo ndiyo imekwisha leo na Samson Mwigamba ameonekana hana hatia na Mahakama. Hilo suala la...
  11. J

    Absalom Kibanda na Theophil Makunga waibwaga serikali kesi ya uchochezi

    The prosecution case was so weak making any reasonable lawyer to come to the conclusion that acquittal will be the end result of the case. Thanks to God that I (in cooperation with the other defense counsel) defended my very long time friend Samson Maingu Mwigamba with all my abilities and...
  12. J

    Alphonce Mawazo akabidhi kata ya Sombetini rasmi kwa Ally Bananga

    Hivi kweli Tanzania yetu hatuwezi kufanya kampeni za kistaarabu bilia kupigana? Huu utamaduni ukiendelea kukumbatiwa utaliangamia taifa hili kwa hakika
  13. J

    Dr.Benson Bana; Namsifu rais Kikwete kwa kumteua waziri wa fedha mwanamke

    Profesa mzima ana semea vitu vya kusikia (hearsay) kufikia hitimisho. Kweli kazi tunayo
  14. J

    Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    Mungu awatangulie na kuwaongoza katika kutekeleza majukumu ya nafasi zao mpya. Wafanye kazi na kutimiza yale yote yanayotakiwa kutoka kwao kwa mujibu wa sheria za nchi. Ni kwa kufanya hivyo ndipo wataweza kuliponya taifa hili kutokana na uovu unaoendelea sehemu mbalimbali hasa unaohusiana na...
  15. J

    Matokeo Mapya ya Kidato cha 4 mwaka 2012 Yanaliaibisha Taifa Letu

    Wenzangu wana JF, Ninaelewa kwamba hakuna taifa lolote lililoendelea duniani pasipo kuimarika kwa elimu. Nimeyapitia kwa haraka haraka matokeo yaliyotangazwa jana na nimegundua matatizo ambayo ni "irreparable" yanayofanya waziri na manaibu wake wawajibike kisiasa kwa kushindwa kazi. Mfano mdogo...
  16. J

    Hukumu ya ubunge Sumbawanga

    Wana JF wenzangu, Leo si siku ya hukumu. Niliandika humu siku chache zilizopita kwamba leo ni siku ambayo rufaa ziliyofunguliwa na Mwanasheria Mkuu pamoja na Aeshi mwenyewe zinasikiliza (two appeals have been consolidated). Kwenye hii kesi ,siyo tu kwamba Aeshi alikata rufaa yeye tu bali pia...
  17. J

    Rufaa: Barua ya Mtela Allamu Mwampamba kwa katibu mkuu wa CHADEMA taifa hii hapa

    Ndugu yangu Mwampamba, Sikufahamu kwa kuwa sijawahi kukutana na wewe ana kwa ana au kukusikia kwenye majukwaa ya hoja. Ushauri wangu kwako ni huu, unaweza usionekane kuwa wa manufaa sasa lakini naamini daima utabaki kwenye kumbukumbu. Ni kawaida yetu sisi wanadamu kukosea, mara nyingi tunakosea...
  18. J

    Rufaa ya Hilary Aeshi na AG dhidi ya Mwalimu Yamsebo kusikilizwa tarehe 12/2/2013

    Wana JF, Asubuhi hii nimepitia Mahakama ya Rufaa nikiwa nafuatilia jambo fulani na nikafanikiwa kuona "cause list" ya mashauri mbalimbali yatakayosikilizwa na Mahakama ya Rufaa. Shauri la Rufaa tajwa hapo juu litakaloamua juu ya hatma ya Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini limepangwa kusikilizwa...
  19. J

    CHADEMA wafanya mkutano wa hadhara Mlandizi

    Dedam,uko wapi hapa mkuu? Nipo jukwaa kuu hapa
  20. J

    Kuhusu Nia ya Kugombea Ubunge Kibaha Vijijini

    Mkuu,sijasema kwamba mimi si mwanasiasa,mimi ni mwanasiasa kwa kuwa maisha yangu ya kila siku yanaguswa kwa njia moja au nyingine na siasa. Kupata au kutokupata huduma bora za msingi za jamii,mfano afya,elimu, nk kwangu mimi,jamii yote inayonizunguka kunaathiriwa na siasa. Kama siasa ni nzuri...
Back
Top Bottom