Search results

  1. F

    Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Alipoingia madarakani alilizungumzia sana na kupiga marufuku uingizaji sukari toka nje ya nchi. Bei elekezi iliwekwa 1700/- lakini iligomea 2600 mpk 3000/- Uzoefu unaonyesha hata sasa bei elekezi zitashindikana na sukari either itauzwa kwa bei iliyoko madukani au itaadimika sana
  2. F

    Sababu kuu ya Tanzania kutoendelea ni unafiki wa watu wake

    Nakubaliana na ndugu mtoa hoja kwa 100%. Matatizo ya mtanzania yanatokana na mtanzania mwenyewe. Hali ya kisiasa yuliyokuwa nayo 100% ni unafiki na uoga usiomithilika. Tunahitaji toba.
  3. F

    Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

    Mbuzi na papai pia zimo kwenye hizi hesabu au hazipo??
  4. F

    Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    Wamemshangilia kwa nguvu wapi?? Hakuna cha kushangiliwa kwa nguvu wala nini. Ilivyotangazwa rais wa Tanzania anaingia uwanjani watu walishangilia kwa namna ya kuitikia tangazo tu la MC. Ndio maana alipopunga mkono, hakuna shamra yoyote iliyoendelea. Kuonyesha the public did not identify itself...
  5. F

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Mwisho wa yooote nasema hiviiii... Matatizo ya Tanzania, ni watanzania wenyewe. Samahani lakini
  6. F

    China To Africa: Don’t Blame Us For Working With Corrupt Govts, You Voted For Them.

    Hujasikia kuhusu bandari yao ya Mombasa?
  7. F

    Waziri Mpango aiomba Benki ya Dunia mkopo wa Dola 150 milioni za Marekani ili kuchochea ukuaji wa uchumi

    Atakayetuokoa nani jamani?? Mbona tumepata uongozi? Tena uongozi kweli!
  8. F

    Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    Samahani wakuuu. Njia rahisi ya kuchangia matibabu ya kamanda Tundu Lissu ni ipi? Nahitaji kuchangia haraka, tafadhali!
  9. F

    Rais Dr Magufuli amekasirishwa na wasomi wetu waliosaini mikataba ya kimataifa inayolinyonya Taifa

    Hasara kweli! Nchi ya wauza maneno. Yaani kila siku ni maneno maneno maneno. Mbaya zaidi hayana uhusiano wowote. Leo kasema hivi kesho kasema alimradi ni mikurupuko tu. Lini watu watakaa mezani kutengeneza ramani ya maendeleo ya nchi? Ifike mahali bwana mkubwaa aache kulia kwa vitu alivyoshiriki...
  10. F

    TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Exciting time... Ninafurahi kuwa mwanachama wa CHADEMA. Na pia nafurahi kuwa mwananchi wa Tanzania japo changamoto ni nyingi.
  11. F

    Mwalimu wa Phy&Maths anahitajika

    Nitafute kwa namba 0752272621
  12. F

    Mwalimu wa Phy&Maths anahitajika

    Karibu ujitose mkuu. Makubaliano maana yake a lot may come into the mix. Kwa mfano experience, past accomplishments n.k zinaweza kuwa advantage kwako. Usioogope, karibu mkuu tujadiliane.
  13. F

    Mwalimu wa Phy&Maths anahitajika

    Habari zenu waungwana... Kichwa cha habari chajieleza. Anahitajika Mwl wa masomo ya physics na mathematics kwa shule ya sekondari. Shule ipo mkoa wa Singida wilaya ya Ikungi, nje kidogo ya mji wa Singida. SIFA: Pamoja na sifa nyingine za kujituma, uaminifu na kujitoa, mwombaji awe na degree ya...
  14. F

    Tegeta Escrow: Kikwete Amepiga fyongo katika muda wa Dhahabu

    This is the best analysis I've seen in a while regarding the current scandal. Congratulation to the author of the post...... It clearly shows we've people with real brains Asante sana kwa uchambuzi yakinifu.
  15. F

    How our dear President Kikwete is Viewed outside TZ! ( A must read story)

    TANZANIANS, what should we do immediately?? My soul is burning in anger over this emptiness in our country leadership. People suggest me a way that we can do immediately!
Back
Top Bottom