Habari zenu waungwana...
Kichwa cha habari chajieleza. Anahitajika Mwl wa masomo ya physics na mathematics kwa shule ya sekondari. Shule ipo mkoa wa Singida wilaya ya Ikungi, nje kidogo ya mji wa Singida.
SIFA: Pamoja na sifa nyingine za kujituma, uaminifu na kujitoa, mwombaji awe na degree ya ualimu wa masomo hayo AU degree nyingine za science zinazoendana na masomo hayo. Awe amefaulu O'level na A'level kwa kiwango cha div I au II.
MASLAHI: Atakaefanikiwa atapewa nyumba bure, maji bure na mshahara ni makubaliano.
KUANZA KAZI: ASAP
MAWASILIANO: 0752272621
KARIBU.