Search results

  1. emback

    Wanaume mpewe nini mtulie?

    Kwenye pid na uti hapo nakataa sana...japo ni njia za uambukizaji....lakini angalieni hizo pad na vyoo mnavyotumia...maana mie ni mmoja wa watu ambao sitoki nje na mke wangu pia...lakini maambukizi ndani hayakuisha mpaka tulipobadili style ya maisha.
  2. emback

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Kumbe ikilalia upande huu ....ndio inakuwa sio haki....ila ikiwa upande wa fe....ni haki na kila mtu anasimama na kuisifu mahakama....wanaume tujitafakari sana usalama wetu unazidi kushuka sana...na cha kusikitisha ni kuwa wengi wetu ni wasaliti.
  3. emback

    Aliyeweza kuimudu Tanzania ni Hayati Magufuli tu? Mbona tunakwama sana?

    Umejuaje kama alikudanya!! Vipi kama waliokupa taarifa ya pili ndio waliokudanganya ili wapige pesa zaidi!?
  4. emback

    Haya ndiyo malambo makubwa zaidi ya kuzalisha umeme katika Afrika

    Ni nyingi sana ukiwa na mawazo finyu.
  5. emback

    Tuwape Tanesco maua yako haraka

    Wafanye unit 1=100 maana yake 1000=10 unit... Ukitoa 10000= 100 unit, hiyo iwe kwa residential(majumbani) halafu huko viwandani napo wawafikirie....lakini kwa hivyo watu wataona umeme ni bora kuliko mkaa na gesi, watu watafunga ac majumbani pasipo hofu ya bill, mashine za kufulia hazitakuwa...
  6. emback

    Mwanamke anazidi utamu kadri anavozidi kuwa mweusi

    Kwamba jamii cheki ndio wameshawapopoa wote na kuwa na matokeo!? Au yeye data zake ni 💯%
  7. emback

    Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Hili ndio tatizo sasa ...kila kitu hatukubali kuwajibika lazima tutafute wa kumlaumu... hiyo ndio asili ya mtu mweusi.
  8. emback

    Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

    Kwa nini mnahangaika kumtetea Yesu....kama vile hayupo...si alifufuka na kupaa na kuahidi kurudi...sa nguvu/povu za nini wakati yupo hai...mwacheni ajitetee mwenyewe. Siku akiona uzi huu na nyuzi nyingine nyingi kama za Kiranga ataamua mwenyewe nini cha kufanya acheni kupoteza muda.
  9. emback

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Nc Nchi kubwa sana muulize jamii yake (mtaani) iliyomzunguka tu
  10. emback

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Kama ni hivyo basi hauna sifa ya kuitwa mkataba, lakini nijuavyo mkataba ni makubaliano kukiwa na mashahidi uwe wa maandishi au sauti.
  11. emback

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Nini maana ya mkataba, au hapa huwa mnasaini tu, na je ipoje mkataba unapovunjwa ....kiufupi hapo unastahili fidia ya kodi yako plus muda na hasara ya kuleta mzigo hapo halafu akakubadilikia...nenda mahali tafsiri ya mikataba inapofanyika utafsiliwe huo mkataba.
  12. emback

    112 namba ya dharura ambayo haiwezi kukusaidia hasa kama unahitaji msaada wa haraka

    Hata hizo nyingine bado ni kipengele, kiufupi namba zote za taasisi za kiserikali yaani unaweza piga halafu ukapiga tena na ukaendelea kupiga hadi ukapiga. Ni taasisi chache sana za kiserikali zinajua maana ya kuweka mawasialiano yao hasa simu.
  13. emback

    Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

    Mpaka pale utakaopojua kuwa akili sio rangi ya ngozi, na kuwa kipimo cha akili sio hicho unachofikiria ndio utakuwa na utimamu...lakini kwa sasa endelea na imani yako.
  14. emback

    CCM imeshindwa kutuendeleza. Ninyi mkitwaa madaraka mtafanya nini?

    Kwamba hujaona katika maandishi hayo kuwa mwananchi akinufaika na kodi yake kuwa taifa linaendelea....kama una wazo lingine leta....
Back
Top Bottom