Katika hali isiyo ya kawaida au ya kawaida kwake, nikiwa nasililiza taarifa ya habari ya bbc Nape alisema "Bomu lililorushwa kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha lilipangwa na CHADEMA wenyewe kwa sababu waazi wa Arusha wamechoka siasa za CHADEMA"
1. Nilisikia miguno kwa watu wote waliokuwa karibu...
pole sana na kutokujua kwako,mana majibu waliyokupa.inaonekana hawa wote hawajazaa,niseme maendeleo mazuri ya afya ya mtoto wako tumboni,ni pamoja na hizo sarakasi zake.shukuru kwamba mimba yako inaendelea vizuri. Ebu tuzalie mwana CHADEMA !
Nilikatishwa tamaa kwa majibu yao ya utani wakati...
Mimi nina ujauzito wa kwanza wa takribsni miezi 5. Hivi karibuni mtoto alikuwa kimya kwa takribani wiki [yaani hanipigi saana]. Kwa muda wote huo nilikuwa ndani tu bila kutoka hata nje nipigwe jua. Juzi nilitoka na hsz b wangu tukatembea kwa takribani 3km. nilichoka kweli kweli hadi miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.