Search results

  1. M

    Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    Naomba niwashukuru sana wana Jf.Mnanifungua mno kwa mijadala yenu.Endeleeni kupost vitu vyenye uchambuzi namna hii hii.
  2. M

    Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    Daaa namimi natamani kuuliza kama matokeo yote yameshatoka ila mmmmmh..
  3. M

    Ziara ya Barack Obama

    Habari zenu ndugu zangu.Naomba kueleshwa vizuri kuhusu ziara ya Rais wa marekani barack obama kuja hapa tanzania. Huku mtaani kuna maneno mengi kua amekuja kwaajili ya dili zingine kama za gesi,madini na yurenium. Na wengine wanadai labda kwakua Rais wa china nae alikuja anadhani anaweza akawa...
  4. M

    duu hii kali...hahahahah

    Dah ila kweli huyo atakua mwanamke wa kichaga maana wao kwa mpunga!
  5. M

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Jamani ndugu zangu mwenzenu nakufa na njaa maana sifanyi kazi bcoz umeme hakuna.Hivi wana FR hasa walio mikoa mingine nje na huu wangu wa arusha niambie,huko kwenu umeme unakatika kama huku kwetu? Huku kwetu hasa maeneo haya ninayoishi ya ngaramtoni umeme ukiuona nusu saa basi inabidi ukatoe...
  6. M

    Jipime na huyu dogo!

    Eeebana eee hata mimi nimechemsha!
  7. M

    Aruha:Jembe Godbles Lema

    Jamani ee leo mimi nina kilio kikubwa na wana arumeru magharibi.Hivi huyu mbunge wetu mh Godluck ole medeye yuko wapi! Arusha mjini wenzentu wana jembe Godbles lema.Arumeru mashariki kuna dogo janja Joshua Nasari.Sisi arumeru magharibi mmmhh yuko zake kule juu anakula bata. Yaani huyu jamaa...
  8. M

    Nisaidieni jamani

    Ha ha haa..kukataliwa mbona kawaida. Tafuta mwingine!
  9. M

    Shukrani

    Kwanza naomba niwatakie wana jf wote heri ya mwaka mpya.Nawashukuru wana jf kwa kwakunikubali kua pamoja nao ktk mtandao huu jf.Naahidi kua mwaminifu kwao na pia kushikiana nao ktk kila jambo.Ni mara yangu ya kwanza kuongea nanyi kwa hii kwahiyo naomba mnibebe.Ahsante sana na mungu awabariki.
Back
Top Bottom