Search results

  1. G

    Polisi wako eneo la Mwandege Azam wanakula rushwa

    Mimi mwenyewe nimeona huu mchezo, kondakta anasimamisha gari, anakwenda kumpaa trafic elfu kumi, nimejaribu kumuuliza konda hiyo hela uliyompa ya nini, akaniambia ya operation, nikamuuliza operation gani, akasikitika tu, akaniambia kaka tunapigwa hela kweli, ndugu Sirro tupia macho police wa...
  2. G

    Ni tabia mbaya na isiyo na maadili kukosoa kila jambo linalofanywa/kuanzishwa na Serikali

    NI WEHU KUKU BALI KILA JAMBO AMBALO NI LA HOVYO
  3. G

    Sehemu za kula ni shida kwa wasafiri wa mabasi ya mikoani

    Nikweli Kilimanjaro wako vizuri, jana nimetoka moshi, ila nauli zao nazo, ila poa tu. Kichwa kimoja35elfu. Kwa luxury class
  4. G

    Magazeti yapotezea Drama za Magufuli Bandarini

    makelele tu.
  5. G

    Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Commonsense, may be is a trick
  6. G

    Kenya na Uganda wadanganya kuhusu ujio wa Will Smith

    Is good to use commonsense.
  7. G

    CCM imepatwa na nini? Kauli zake ndio kila kitu

    ACHA WAFU WAZIKANE OVA
  8. G

    Tundu Lissu amjibu Magufuli juu ya yeye kugombea TLS

    Katika watu makini katika bara la Africa, wakwanza lisu, wapili mimi. Fikra pevu.
  9. G

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya: Maswali magumu na muhimu

    ili uwe na maendeleo lazma uwe na roadmap, kama hunaa, mh, mmh
  10. G

    Maisha ya hawa wasanii wa bongo muvi mwaka mmoja baada ya Uchaguzi yakoje?

    NACHEKEA BAFUNI, MMH, KAMA MAZURI.
  11. G

    Masomo ya kilimo na ufugaji

    my please add me my number is 0685842031, thanks
  12. G

    Rais Magufuli aongoza wananchi wa Dar kuaga mwili wa Dk. Didas Massaburi, atoa neno

    "Wakati mwingine kusema ukweli sehemu fulani ni upuuzi mtupu, na hauna maana, wakati fulani pia, kusema uongo ukichanganyika na busara unamaana sana, na huwa ukweli wenye msaada kamili". Godfrey Nangeda
  13. G

    TANESCO Vikindu Mkuranga kulikoni kukata umeme kila Jumamosi?

    Hivi nyie TANESCO Vikindu mna matatizo gani? Mbona kila Jumamosi mnakata umeme kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 12 jioni Bila maelezo yoyote? Huku kuna tatizo gani ambalo kila Jumamosi umeme lazima ukatwe? Nimefanya utafiti mdogo nikagundua kuna series ya hii tabia. Source mimi mwenyewe na...
  14. G

    Hivi Halotel kwanini mnafanya hivi?

    TANZANIA MTANDAO NAMBA MOJA NI HALLOTEL, WENGINE MAKELELE TU, NAWAPENDA HAWAPIGI KELELE WANAFANYA KAZI SAFI SANA HALLOTEL. WATAALAM WA KUTUMIA SIMU TUKO HUKO TUMETULIA TULI, HATUANGAIKI NA MAKELELE MENGINE.
  15. G

    Swali la akili, si la SIASA TAKA

    Wiki chache zilizo pita bosi mmoja wa bandari alisema bandari mambo shwari, miezi michache TRA, wamekuwa na makusanyo yaliyo vuka lengo, juzi juzi mkuu kasema kama watu wakiendelea kuficha fedha, anaweza kuamua kuchapa noti mpya ndani ya siku mbili. leo kamati ya bunge inaambiwa tena na watu...
  16. G

    Bulaya: Nimemsamehe Wassira

    wasiraaaaa, da!?kazi kweli, mtunga sera wa chami fuluni, kaaazi haswa
  17. G

    MH,LISSU MATATANI CHADEMA

    Nasikitika ulie andika ili bandiko huna chakula cha ubongo. Ova
  18. G

    Mbatia: Tutamfikisha Magufuli The Hague, tunaendelea kukusanya ushahidi

    hivi we Lizabon unafanyaga kazi saa ngapi
Back
Top Bottom