Search results

  1. frankgalos

    Software,Apps,Webs

    Natengeneza platform tajwa hapo juu, Nakaribisha maswali na ushauli Cross Platform Apps Cross Browser Web Sites Cross OS Software Ni pm kama unaitaji kutengenezewa chochote apo
  2. frankgalos

    Ios na Android OS Apps:

    Njoo Nikutengenezee Apps za Hizo Platform Kwa Pesa Yako Utengenezaji wa Apps zinazofanyakazi kwa platform mbili tofauti na ikiwa native muonekano sawa na functionality sawa na code base moja haujawai kuwa rahisi. Njoo nikutengenezee maramoja na kuiweka hewani app yako kwa pesa uliyokwa nayo...
  3. frankgalos

    Library rahisi ya javascript kwaajiri ya server.

    Kwa siku kadhaa nilikua nafikiria, jinsi gani naweza kurahisisha kazi zangu za web development, ndipo nikaja na idea ya kutengeneza kitu kimoja ambacho kitanifanya nisirudie tena functionality flani kila nnapotaka kufanya au kutengeneza web app. kwasasa nimeikamilisha ikiwa ni version 1 na...
  4. frankgalos

    Javascript For Beginner In Swahili

    Mwaka huu nime barikiwa na mawazo mengi ambayo yamefanya kichwa changu kuvurugika nikifikiria ni jinsi gani naweza kuisaidia jamii yangu kiujumla. Ndipo nikaja na wazo hili la kuandika kitabu. Lengo la kuandika hiki kitabu ni kwasababu watu wengi wanapenda kufanya au kutengeneza programu za kwao...
  5. frankgalos

    Web development for beginners in swahili

    Je, unapenda kutengeza kitu chako ambacho umekitolea jasho? Je, unapenda kujifunza technology mbalimbali hususani za kompyuta? Je, unapenda kujua jinsi website zinavo fanya kazi.Basi hii thread ina kufaa? Habari marafiki? Katika hii course ningependa kuelekeza jinsi ya kutengenza website na...
Back
Top Bottom