Kabla ya kusema haya acha niweke bayana haya yafuatayo ni muhimu kuzingatiwa:
Mimi ni mkristo wa kilokole
Ni msomi wa kati
Napenda upinzani zaidi kuliko chama tawala.
Hizo tabia hapo juu zaweza sababisha nilalie upande mmoja ambao ndizo zinazotawala fikra zangu katika maisha kwa hiyo...
What does the concept of 'National consciousness' mean to us citizen of this country? Have we as a nation come into common understanding of what we strive for?
For the past three years we've been drawn into the complex discussion on what we have termed Ufisadi and I and i guess everybody whose...
Nilikuwa katika maongezi na rafiki yangu na political patner wa muda sasa. Katika maongezi aliniuliza swali ambalo lilinifanya nijitafakari kidogo na ndipo nikagundua; I can take a lead.
Imekuwa muda sasa tuko kwenye hot discussion ya mambo ya Ufisadi na Dowans imekuwa center ya haya malumbano...

Ni mwaka mwingine tena unakaribia kuanza, mwaka (2011) ambao Tanzania itasherehekea miaka yake 50 tangu kuwepo kwenye ramani ya dunia. Kama taifa ni nini tunatafakari wakati huu?
Je kama taifa nini ilikuwa misingi yetu wakati tukianza?
Najiuliza hiyo misingi bado ipo au imeharibika na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.