How To Take passion of what Belongs to Us: A lesson learnt from Dowans Saga

Mombo Wetu

JF-Expert Member
Aug 5, 2008
377
36
Nilikuwa katika maongezi na rafiki yangu na political patner wa muda sasa. Katika maongezi aliniuliza swali ambalo lilinifanya nijitafakari kidogo na ndipo nikagundua; I can take a lead.
Imekuwa muda sasa tuko kwenye hot discussion ya mambo ya Ufisadi na Dowans imekuwa center ya haya malumbano kwa muda mrefu na kuonyesha ni jinsi gani inavyo endelea ku kugusa Nyanja zote za taifa hili kuanzia social, economy na hata material condition ya Physical matter like natural resources management access and utilization. Natamani kutoka kwenye hili mimi kama Individual and all others similar to me and move to the next level. Na hilo hasa ndo lengo la thread yangu kwa leo.


Why and how?
Kwa watu walio kwenye field ya construction na hata project planning basi watakubaliana na mm kuwa Architect akimaliza kazi yake ya design na kuleta picha halisi mpaka muonekano wa jengo litakavyokuwa kwa kutengeneza model ya the real thing kazi yake inaishia hapo na ku move to another level/project.


Acha mm na wale wenye maono kama yangu tuende kwenye next level; na hii vita ya kung’oa kuharibu na kuteketeza tupate kujenga na kusimamisha nchi tuipendayo tuache wenye wafanye engineers and technicians; sisi tutafute maono mengine ili wajenzi waje baadaye kujenga. Kabla ya haya tunayoona sasa I took much of my time kufikiria na kuchukua hatua ya dhati kabisa that was in year between end of 90s mpaka end of 2009. Nikafanya drawings nakuweka paintings mpaka picha ikakamilika na mwisho nikaona wote walio panda kwenye ndege ya ufisadi na kuwaacha wengi chini ndege yao ikiungua into ashes hakubaki hata mmoja thats why am comfortably going to another level. Na hapa ndipo swali la rafiki yangu huyo linapoingia; Je baada ya haya lipi ungependa kulifanya?


Baada ya why sasa how?
Kama mafisadi mwisho wao ni kuungua into ashes baada ya ndege yao kupata hitilafu angani nani ata occupy nafasi zao?

Wale walio na maono kama yangu ndiyo ninao ongea nao sasa. How do we take the possession of what belongs to us? Now using Dowans as a case study. Hebu jaribu kusoma documentation yote ya issue ya Dowans hapa JF labda kama ulikuwa unafanya for fun lakini if you were serious then utagundua kuwa this thing was well designed before 2005 and the implementation started in year 2006; Why ? If you have an answer then please this is a good lesson learnt for us to start possessing what we want for our country. Another question is if evils can prosper like this how is it for the morals....1000 times more than this and thats my main call today. How can we then take possession of what we want.......

So for those who are ready, take your everyday time at least one hour to meditate on what position you would want to occupy in our dream country. Picture it; imagine how would this impact the lives of the needy and ultimately what would be the fruits of your doings. The moment you would be able to make every fibre of your being convinced and are able to drop the whole picture into your spirit you would find yourself into that position. I am talking of superiority of spirituality...am not talking of religiousity . And if the spirit that connects those of us who are in task is moral then there is only one and one spirit which exist under the Sun which is called moral. This being the case we would be in a position to outsmart the evils and bring morals into practice coordinated by that very spirit of morals. Because He is almighty God and called the wonderful counsellor (Extra ordinary strategist) he will strategies for us and ultimately find ourselves in the very right position at a very specific time.


It would be so surprising kama ndege ya mafisadi itaungua hewani na kusibaki kitu bali majivu lakini kukawa hakuna na mtu ambaye amejiandaa kuchukua nafasi zao.....Shida na confusion ya sasa itakuwa mara mbili ya haya tunayoyapitia sasa. Ndiyo maana wana wa Israel walipokuwa wakienda nchi ya ahadi Mungu aliwaambia nchi niwapayo hako na utupu name nimewaacha hao waendelee kuitunza ili isharibike ila mtawaondoa moja moja mpaka mirithi yote....Imagine now am talking to the likes of Caleb the son of Jephun'neh and Joshua the son of Nun; those who do not see themselves as Grasshopers before the Giants of this country...who are ready to be counted and let it go....of whatever worries preventing them from inheriting what they are entitled to......Are you the one....chukua hatua go to another level....
 
Back
Top Bottom