Search results

  1. M

    Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

    chadema wameenda ila hawajaoneshwa sana kwenye vyombo vya habari
  2. M

    Mjadala wa Umoja wa Upinzani StarTV Dec 5, 2010

    mi nafikiri vyama vya upinzani vipo kimaslahi zaidi,kwa mfano ndani tu ya chadema hakuna muungano ona mtu kama zitto madudu anayoyafanya ndani ya chama chake,angalia cuf hamad rashid anajua utamu wa kuwa kwenye uongozi wa kambi ya upinzani ndio maana analeta mashinikizo yasiyoeleweka,nccr ndo...
  3. M

    Hivi Wazungu wao wanajisikiaje katika Dunia yenye 'Miafrika Ndivyo Ilivyo'?

    sisi wa-afrika kwa wazungu tunaonekana kama ''nyani'',kana kwamba haitoshi sisi wenyewe tuna tabia za kinyani vilevile, kwa mfano, tazama jinsi tulivyo warahisi kushawishiwa na wazungu juu ya mambo yetu muhimu yanayotuhusu mfano mzuri ni jinsi wazungu walivyo behind vita zote zinazo endelea hapa...
  4. M

    Mohamed Mpakanjia is no more!

    mwenyewe nimeskia hzo habari!ila kwenye msiba wa marehem amina chifu wa ubena alilalamika sana kuhusu msiba wa binti yao...kwmba aliehusika lazma amfate!sasa mi cjui nimehusisha 2 matukio
  5. M

    List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

    hawa ccm kwa u2mbo walioufanya awamu hii wamenifanya na mimi 2010 nifikirie kupiga kura hata kwa upinzani ingawa hata upinzani una9ingua 2
  6. M

    Gazeti la MwanaHALISI kufungiwa tena!?

    Uhuru wa vyombo vya habari haupo hapa tz ingawa wananchi wasiojua hilo wanadanganywa kila siku,watz inabidi waamke nafasi pekee iliyo baki ni 2010,sio lazima iwe urais hata tukiwanyima hawa mafisadi viti vya ubunge itatusaidia sana maana ndio wanaamua kufungia magazeti kiholelaholela kwa kuhofia...
  7. M

    Kutafuta Ajira Kunavyoweza Kumuathiri Mtu Kisaikolojia!

    Shy iyo article kuhusu ajira ipo safi sana na kiukweli mimi kama jobseeker imenijenga sana,siunajua ndo kwanza nimemaliza chuo thanx bro!
  8. M

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Inaonekana mapema kuwa huyo mchumba wako ana safu mbovu ya ulinzi kumegwa na watu wawili? Lazima atakusumbua sana
Back
Top Bottom