Search results

  1. N

    DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Na changamoto ya malezi inaanzia nyumbani Tunalea watoto kama mayai Tunawadekeza sana Walimu wanapata wakati mgumu. Anyway tuendelee tu kumuombea mtoto apatikane
  2. N

    SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Nadhani hao wahitimu wanadaiwa ada na chuo , ndio maana walifanya mpango kuchukua nakala kinyemela
  3. N

    Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Kuzaasha kuzafanana na ghuo mosieh yuwe
  4. N

    Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Kweli kabisa Zumbe huyu Mdigo mzigua wivu unamsumbua sana
  5. N

    Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

    Tabia ya kiswahili na ya ki zamani sana hii, mizigo yote singo imejaa kuanzia barabarani mpaka bar uende kuparamia ndoa za watu.Kuna wadada wako single wazuri unaenda kuweka kikojoleo kwa mwanamke ambaye unajua jana usiku alingonoka na mmewe
  6. N

    Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

    Ha ha ha Tanga moja hiyo maeneo ya Moa , Zingibari kuelekea Kenya,hufanana na wadigo na wasambaa pia na ni wa Swahili haswaaa…kama unakumbuka kibwagizo “ Sijauona mpilipili na maua yake mchikichooo” wameambaa mpaka Kenya huko
  7. N

    Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

    Ndio kesharudi leo sasa
  8. N

    Vicoba vitamaliza wake zetu

    Wanawake zetu wana tamaa ya kupata pesa bila kufanya kazi… ndio maana utakuta wanadanganywa kuanzia 1.Vikoba 2.Biashara za mtandao sijui neolife, forever living 3.Upatu kama Blockchain sijui B9, Deci 4. Kwenye dini na imani nyingine kama kwa mwamposa , waganga kienyeji Wana roho ndogo sana hawa...
  9. N

    Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

    Mimi nimekutana nayo kusini kule Nanyumbu na Kata y’a Mkonona mzee nimegonga imewiva imelainika kama uji safi kabisaa
  10. N

    Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

    Kusini kule vijiji vya Nanyumbu Mkonona ngozi y’a ng’ombe ni chakula cha asili kabisa inapikwa masaa mengi mpaka inakuwa ujiuji unaeeza ukafyonza kabisa
  11. N

    Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

    Hii roho y’a kichawi kabisa, wewe unajua neema ya kuwa na baba kweli?
  12. N

    Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

    Genetics mzee , wale wasambaa weupe ni wa ukoo wa Kilindi wanaitwa wakilindi kwenye lineage ya Mbega na kina Kimweri wa Vuga Inasemekana Mbega baba yake alikua mweupe akitokea kisimani Pemba akavuka moja Kwa moja mpaka Kilindi akaacha mbegu wilayani kilindi kule kwa wanguu/wazigua …. Baadae...
  13. N

    Tajiri Mo dewji umeleeza vizuri kwanini vijana wanakimbilia mjini ila umesahau kusema ili limesababishwa na mfumo mbovu wa Serikali

    Huyu muongo muongo si pia alisema kaweka 20bn simba , mbona hazionekani wanebaki kusajili wachezaji wa ndondo cup
  14. N

    Utamjibuje mtu atakaekwambia ukweli kuwa unanuka mdomo

    Nenda Kwa dentist kasafishe kinywa
Back
Top Bottom