Search results

  1. M

    Naomba samahani kwa niaba ya wafanyakazi wa Tanzania!

    Jina lako kielelezo tosha
  2. M

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ubarikiwe #Professor umeniwezesha kupata rasmu ya ll na katiba pendekezwa ngoja nisome neno kwa neno maana hawa jamaa hawataki kutoa tujisomee mapema wanataka kutupiga kaunta ataki.
  3. M

    Hotuba ya mwisho wa mwaka ya mhe. Peter msigwa, mb iringa mjini.

    Nimependa sanaa iliyotumika kufikisha ujumbe, nijitahidi nijibu angalau nusu ya maswali yaloulizwa kabla mwaka 2015 haujaisha. Hongera mhe Mchungaji.
  4. M

    ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    Pole pole kanifanya niitafute rasmu ya time na katiba pendekezwa nizisome kwa pamoja. Mwenye link zake tafadhali anipatie maana na search naletewa mihitasari tu wakati wanakabidhi. Pole pole ni jembe.
  5. M

    Forever Living!

    Mi nilijiunga nao tatizpouuhabawa product ukanipotezea wateja, nilikaa karibu mwezi mzima kiongozi wangu anadai no product makao makuu.Hela yangu iliniuma sana maana nilikusa najipiga ganji ili nilipie/ nijiunge. Ila product zao ni nzuri.
  6. M

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    Hiv Zanj kuna wasomi wachache wa kikristu wanaopenda siasa ama tatzo ni nn? Angalia majna yote isipokuwa wa category ya din wengne din 1, pia serikal yao hivyox2, aaagh...achen hzo.
  7. M

    Msaada wa Haraka

    Asante mkuu Oyono, kama ni hivyo ngoja nimpe ushauri wako.
  8. M

    Msaada wa Haraka

    Dokt, kwanza heri ya mwaka mpya. Kuna jamaa yangu wa karibu sana ana mke wake zaidi ya miaka 4 sasa, mwezi ulopita walienda clinic wakaambiwa kupima HIV matokeo yakaonesha wife ni anao na jamaa hana, kaambiwa arudi baada ya wiki 3 alipoenda kuchek tena majbu yakaonesha kuwa hana. Sasa hapo Dokt...
  9. M

    Wabunge wa ccm wangekua hivi kila siku.

    ...na wanatoa povu huku mkulu wa kaya yupo kwa Obama akila bata! Hapa Pinda akijpindua akabaki kuwa wazir mkuu, bhaaa...si...!
  10. M

    Bunge lakataa kubariki "Division 5"

    Mwanafunzi anaingia na alama 40, tayar ameshafaulu. Dah, sijui nirudie mtihani!!?? Kweli hii wizara full majanga kisa big result now! Tafadhalin sana boreshen mazingira ya kujifunza na kujifunzia hzo A zitakuja tu.
  11. M

    Mishahara ya walimu juu

    Tatzo walimu mda wote mwawaza salary tu, fanya kaz zingne uongeze kipato hata kulima mbogamboga.:clap2:
  12. M

    TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

    Na mwaka huu mnalo, mjeshi hatakiwi kugoma, kozi walokupangia ndo hyo hyo uisome hakuna kuhoji wala kugoma; maandano ndo hayatakiwi kabisa we komaa tu.:majani7:
  13. M

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Jina Tanganyika hawajaltaja, wanasema serikal tatu yaani Zanzibar, shirikisho na Tanzania bara. Viti maalum wanapigwa ban, wabunge bara ni 60! Na zenj ni 25! Wakuteuliwa na rais 5! Kwel?
  14. M

    Maxence (baada ya ajali ya gari): Ahsante Mungu, ahsante watanzania!

    Jina la Mwenyezi Mungu litukuzwe milele. Anamakusudi na wewe kuendelea kuishi, mwamini atakuponya wewe na mdogo wako. Get well soon brothers.
  15. M

    Hon. Kikwete with teachers from Jamaica

    Siyo yeye, ni washauri wake akina Kawambwa & co akiwemo Mwigulu Nchemba. Hajui kwamba kwa kuwaleta hao jamaa walimu wazawa watazidi kukata tamaa! Kwa nin asiwaboreshee mazingira walimu wetu japo kidogo tu kuwaongezea morali! Ukichek matokeo ya f4 upande wa sayansi wameyachakachua vzr, tatzo f6...
  16. M

    MUHONGO: Hii hotuba ya Kihistoria, asilimia 90 ya Bajeti inaenda kwenye Miradi ya Maendeleo

    Hii ni serikali yetu sote, Mikoa ya kusin wamepewa kila aina ya uzito mf kupunguziwa gharama za kuunganisha umeme, kujengewa viwanda, vijana wazawa wa huko kusomeshwa na serikali. Lakin je, sisi wa mikoa ya kanda ya Ziwa wenye madin kila mahali ila tunaambiwa ni rasilimali za kitaifa tunakubali...
  17. M

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Kweli, naona askar wanajaribu kumtoa mhe.Lisu, kuna kurupushan hadi tbc1 wamekatisha matangazo ya live, Mwigulu kakomaa na suala la udini kwa alyekuwa mgombea urais wa CDM 2010, Rais wa watu, Dr Slaa. Mwigulu atakuwa amefuzu kihalal JKT?
  18. M

    Kutoka Bungeni: Mbunge aomba Bangi iruhusiwe kulimwa!

    Pokea like mkuu Jabulan pia Mzizi mkavu. Serikal hii ya JMT kupitia bunge letu tukufu walitoa tamko kuhusu matumiz ya tumbaku na wadau wengi walisema mara tu baada ya tamko hilo kuwa serikal hii haina ubavu huo maana zao la tumbaku ndo linaongoza kuchangia pato la taifa. Huyu mbunge kwa...
  19. M

    Nilichosikia mwandishi wa BBC Eric David Nampesya akisema kuhusu Loliondo kimenishtua

    Uwezo Tunao. Kumbuka hao ni viongoz uliowachagua ili wakuwakilishe, hvyo ni pamoja na kusain mikataba km ukikosea kuchagua hayo ni baadh tu ya matokeo. Wa_tz wenzangu, tafadhal tuachane na ghiliba za kofia,tshirt za kijan tena.
  20. M

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Ndio matunda ya JKT hayo, kafundishwa kushut, kusafisha silaha. Sasa utamfanya nn na jeshi analo. Wana_CDM tuendelee kutumia akili zaidi kama ilivyo jadi yetu maana hawa magamba wanatafuta pa kutokea. Kweli kiongoz mkubwa kabsa wa chama anafanya hiv!?
Back
Top Bottom