Search results

  1. Shepherd

    Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Hapa unatiwa moyo na kukatishwa tamaa kwa pamoja.Vyovyote vile wewe ndio mwenye uamuzi wa mwisho.
  2. Shepherd

    Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

    Hali ya Hewa kivipi hili hali Precision na Flight Link na wenzao wapo huko hewani wakipambana na radi na mvua.
  3. Shepherd

    Biashara gani nifanye Comoro?

    Unavaa boya mwanzo to mwisho wa safari.
  4. Shepherd

    Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

    Ulikuwa 60 m baada ya miezi 6 una 5 m.Kumbuka tu fursa aiji mara mbili.
  5. Shepherd

    Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima( PhD)

    Hii Asali anayolamba awezi achia Uenyekiti ni tamu kweli kweli.
  6. Shepherd

    Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Hatupaswi kuwabeza tunapaswa kuja na suluhisho ya Changamoto walizozionyesha.Kwao kucheza Makundi ni hatua kubwa sana.
  7. Shepherd

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Itakuwa Kigoma au Dodoma
  8. Shepherd

    Wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake

    Sijawai ona huyo mtoa mada ndio kasema na wanaume wanafuga hivyo vimbwa.
  9. Shepherd

    Wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake

    Na wanaume wanavifuga kwa ajili ya nini?.
  10. Shepherd

    Wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake

    Je aviwezi kuleta viral transimition from animal to human.Kweli kuna mengi tusio yajua.
  11. Shepherd

    Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Nafikiri angepewa kusudio la kufungiwa biashara yake pili management yake ingeitwa latra kujitetea kwa nini wasifungiwe,kuliko kumfungia gafla.
  12. Shepherd

    Mabasi ya Kilimanjaro yafungiwa kutoa huduma

    Nafikiri kusimamisha mabus yote sio sahihi wawapige faini tena alafu Latra waweke afisa wao wakuakikisha leseni zinakatwa kieletronic kama azikatwi.
  13. Shepherd

    Mabasi ya Kilimanjaro yafungiwa kutoa huduma

    Hahahahaha na wewe ulipigwa baada ya kujichanganya tangu lini Kilimanjaro ikaenda karatu wakati Karatu kuna Dar express,Ester, Saibaba na Lakrome.
  14. Shepherd

    Ndege ya ATCL Bombardier Q-300 Imekwama Malta Kwa Miaka 4.CEO Asema Spea Hazipatikani!

    Mama anausikaje hapa.ATCL ndio wenye majibu sahihi.
  15. Shepherd

    Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

    Zikatoka au mbona atuoni matokeo.
Back
Top Bottom