Naona tuanza sisi kutaja mishahara yetu kabla kutaka kujuwa ya wengine, vinginevyo umbeya huo!
Wangu ni wa kima cha chini!
Jee ulioanzisha mada, wako ni kiasi gani?
Lakini kwanini Nyerere kuwasaidia hawa magabachoodi, ni kwa ajili ya rangi yao imefanana na yake, maana kumuita Nyerere Muafrika mweusi si sahihi, alifanana na Amir Jamal zaidi kama angetia curlkit! haha ha, mbona Bryson tumem sahau , kizazi chake kimekimbilia wapi?
Wakuu hebu tuzingatiye, hivi Katiba yetu imetowa mwanya wowote wa kuukata Muungano, hivi ulikuwa muungano wakulazimishwa au wakhiyari, jee ilikuwa ni ndowa isio na TALAKA? pengine ndoa ya aina hiyo ni ngeni kwa wazenji au solution ni kufanya kama walivyotanguliya kwanza wasudan ya kusini?
Maaskofu kumpa ultimatum JK ni namna moja ya kujisafisha!
Lakini kweli Kanisa ni safi?
Hivi tumesahau kuhusika kwa Kanisa na Meno ya Tembo, akakamatwa na kufungwa siku moja tu, na ya pili kukimbiliya VATIKANI? vile jina lake anakumbukwa?!
SIRI YA MTUNGI
PILIPILI USIOILA YAKUWASHIYANI?
Badala kutueleze Sokoine kafaje au Kolimba kafaje, mwaleta hadithi za Alfu ulela!
Mwajuwa kuwa huyo Salim ni mmoja wa watuhumiwa? na aliyemlinda ni nani? Sasa aliyemlinda naye ahusika? Fumbo mfumbie.....
Ufinyu wa maarifa yako kuhusu Zanzibar, unanizuiya kukujibu kwa data! unasahau znz ilikuwa ni nchi yenye uwezo kiuchumi, taaluma kimaendeleo na mambo mengi kuliko Bara, kabla Muungano? nikuthibitishiye vipi ikiwa unamuona Sultani ni mgeni na Karume ni mwenyeji! I can't help it, Ican't correct...
Hili si tatizo la kujitakia bro, ni tatizo lilopangwa!
Mwezi mmoja tu baada ya Muingereza kutoa Uhuru, nchi yapinduliwa na waliowengi, miezi Mitatu kanchi kaungana na nchi kubwa zaidi ya mara Mia kiiukubwa na idadi ya Raiya, upanda wa pili wa bahari tena hawana common tribe wala common...
Nadhani tatizo ni jina la hiki kacheo cha raisi wa Zanzibar! hivi ana madaraka gani zaidi ya Mkuu wa Mkoa? ni kiini macho tu, eti ana bendera ana wimbo wa taifa, anapiga baruti 21 akipokeya mgeni, lakini ana Nchi ikiwa haina "sovoreignity"?
Thnx 4 ur comments.
Hakuna kitu mawakili wazuri, system imeshika mpini, watakalo huwa! Kwani umesahau tume ngapi zilikuja na mapendekezo mazuri, lakini zikapigwa na chini! haikuwa ya Nyalali akiwa madarakani, ikatupwa huko, usichezee system bro. husubiri mpaka mambo yawageukiye, kama ya...
Lamsingi, tunaposema Tanzania ! nimetowa hoja juu ya hali iliotanguliya toka kuanza vyama vingi!
Ikiwa tutakuwa na Tanganyika, hakuna ugomvi, lakini kitu Tanzania ni Muungano na kila mwenye hisa katika muungano ana haki sawa na mwenziye. Ni kwa mantiki hii ndio zanzibar ina haki ya kuwa na...
Ni jambo la kusikitisha, toka kuanza kwa vyama vingi, hapajakuwako na chama chochote cha siasa kilichopendekeza mgombeya Uraisi wa Jamhuri ya Muungano, kutoka visiwani! Hii inatowa taswira gani, hawana uwezo au hawastahiki? kuna haja Katiba mpya, ibaini wazi kuweko uongozi wakupishana...
Kweli ni upuuzi kujadili udini, lakini ni ukweli usioepukika! katika kila nyanja za maisha yetu, kitaifa au kitaifa, udini umetawala! hata ndani ya vyama vya siasa, ndani ya makabila tena iweje JF inusurike. Ni kasumba tuliolewa, japo tunajitiya kuikataaa!
Ni kweli Mod. likija lolote linalotu umbuwa, peleka huko! tudiscus yale tu yenyemaslahi nasi! hehe he! weldone democracy, in favor of majority, inspite of being ignorant!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.