Apache ubwabwa , vidonge vya majira au masindano kwa ujumla awe na nidhamu ya Misosi na mazoezi. Hata mimi mwanaume bongiso hapana, minyama inaninginia hapana.
Lakini kwani police wasifanye patrol pale kwa kuwa imeshajulikana wahalifu wengi wapo pale. Mi ninaiman msako ukifanyika pale wakamatwe kama kumi wapewe kichapo kitakatifu wanawaleta wenzao. Kazi rahisi tu
Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa Rais wetu anaumizwa na maisha ya shida yanayowasibu asilimia kubwa ya Watanzania. Hana makuu pamoja na kuwa ni Rais. Sijaona yeye kwenda kula good time nje wakat watanzania wanataabika.
Hata hivyo hajawamwaminifu inavyopaswa. Angesema pia upande wa ccm. Anavyoongea ni kama katumwa na chama fulani. Ana weka watanzania njia panda.
Ni vizuri kuwa na upande. Ila matendo yake yanaonyesha dhahiri upande wake ijapokuwa hajatangaza rasmi
Hawajatutendea haki Wanaarumeru hao wanaojiita wasomi/wataalamu. Ninaweza kusema wametutukana,na wanaweza wakawa wametoka mikoa ile isiyojitambua na isiyosoma alama za nyakati au wametumwa na magamba.
Hujakosea Mpendwa, sehemu zote zenye maendeleo, watu wenye kujua kufikiria na kupambanua mambo wamechagua Chadema. Lakini sehemu zile za wenzetu ambako wako kweusi kimaendeleo wamedanganyika (LINDI, RUFIJI au MTWARA). Hata ukiangalia kwa mkoa wa Dar utajifunza kitu kwa wakazi wa Jimbo la Kawe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.