Search results

  1. M

    Tanzania yatinga Fainali...

    ni nchi ya baba yako? nyie mnataka muachwe peke yenu ili muendeleze ugaidi na dini yenu ya kigaidi hiyo....lol
  2. M

    Kapt. Mkuchika na Maagizo yake!

    Pundit nae anasema ametoa point ati....hahaha. Pundit, wewe mtu wa aina gani....
  3. M

    Mjeshi ammiminia mkewe risasi

    pundit ni mgumu sana kuelewa, halafu, ana tabia ya kutaka watu waamini chochote kila ambacho yeye anafikiri ni sawa, kumbe yuke nje ya point kabisa. nitakachokushauri pundit ni kwamba, unatakiwa kung'ang'ania tu zile point zinazotokana na masomo uliyosoma, hapo ndo utajua unachoongea. it is of...
  4. M

    Mjeshi ammiminia mkewe risasi

    pundit huna point, na hautakuja uwe na point maishani mwako.
  5. M

    Solid Waste Disposal

    sasa wafanye nini wakati maisha ndo yanaruhusu waishi vile, wanaweza wakakaa hata chooni alimradi tu wanaishi. wenye uwezo wamefisadi kama wapendavyo, ajira hamna, elimu kiduchu, matatizo mtupu. sasa watu wanaishi alimradi wanaishi, alimradi kunakucha. kuwe kuchafu, twende, wanye mavi nje...
  6. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    hahaha, huu uchochezi, ndo mnachochea zaidi ili wajitenga au vipi.
  7. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    kama alikutwa na bastola, alishindwa kuwapundua vibaka kweli, kama kweli yanayosemwa, basi kuna lake jambo sirini hapo.
  8. M

    Mjeshi ammiminia mkewe risasi

    hahaha, sheria gani kwa hapo mkuu, rekebisha ni ipi ambayo siijui na wewe uweke ukweli wake....mbona una hasira bwana mdogo....tatizo sio wewe uje unichukue mimi niwe mwanasheria wako, tatizo ni kwamba hautakuwa na uwezo wa kunichukuwa mimi kwasababu mimi fee yangu iko juu sana na kesi ya...
  9. M

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    haya, basi mimi nilichanganya na masawe...hahaha. ila ndani kuna ukweli fulani.
  10. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    we jamaa unachafua hadi mada na huo mdomo wako wa kidemu. hivi huwa hausikiii
  11. M

    Mjeshi ammiminia mkewe risasi

    sasa wewe ulitaka mimi nianze kuandika sheria hapa kwani nafanya mtihani au naandaa kesi yangu? mimi hapa siwezi fanya hivyo, niko naandika point mbalimbali kwenye topic mbalimbali, siwezi nikacheleweshwa na wewe unaetaka vitu kama hivyo, nenda shule au kachukue mwanasheria yoyote atakusaidia...
  12. M

    Female circumcision in Kenya

    how are you Mnairobi, u sure of what u talking about? hahaha, your country needs salvation from this issue...lol!
  13. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    hii ni opportunity kubwa kwa wakenya, wanaomba usiku na mchana ili tz kuwe na machafuko ili tufanane, mbona wanaleta ushabiki kwenye ishu zetu? waende zao huko. matatizo ya tz na zbr tunayajulia sisi wenyewe. kama ulishawai kuwakuta ma identical twins sehemu wanapigana, ukaamua kumpiga mmoja...
  14. M

    sijawahi kuzidisha mzunguko mmoja wakati wa kufanya tendo la ndoa

    hawa watoto wana mambo ya ajabu sana, huwezi amini mtu anakiri kuwa hajaoa lakini analeta za kuleta zake hapa...hahaha.
  15. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    makubwa haya jamani.
  16. M

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Slaa noma...hahaha.
  17. M

    Mjeshi ammiminia mkewe risasi

    hahaha, wewe, unataka sheria inayoonyesha provocation, ni nyingi mkuu zikikusanywa pamoja ndo utapata kitu kimoja. ila nitakupa mbili tu kwasaabu siamini kama wewe unajua sheria, hata ukipewa nyingi huwezi elewa kitu. Nenda kasome penal code tunayotumia hapa tanzania, na sheria ya ushahidi ya...
  18. M

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    hahaha, basi liibueni hili, mbona zuri, tumbane kabla hata hajatoweka. mbona watu wanalifumbia macho jamani.
  19. M

    Mjeshi ammiminia mkewe risasi

    ni sheria gani hiyo, itaje, ndo nitajua kuwa unaelewa unachoongea. kama unasema ipo sheria, don't speculate, sema sheria fulani ndo inasema hivyo. usilete mambo ya kwenye magazeti na novel hapa mkuu au bwaga ongea point zingine waache wenyewe waongee hapa.
  20. M

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    nani hajui kuwa nssf ina udini, yule jamaa kwana anatumiwa na manji anaetaka kufanya dili fulani ya kichafu ivi, na kama masau yule mchaga rafiki yake Mengi, lazima tu angekuwa taget wa manji. pole sana. hawa mafahari wawili sijui watapumzika lini, basi waumie wao badala ya nyasi kuumia jamani.
Back
Top Bottom