Search results

  1. M

    Naomba jibu ni muhimu kwa mwenye elimu ya mapenzi

    Wanajamvi nimesema kwa mwenye elimu ya mapenzi nikimaanisha: Kuna tabia ya watu baadhi Rika tofauti jinsia tofauti wana mtazamo ambao Mimi binafsi nashindwa kuelewa nikweli mwanaume mwenye vidole virefu inamaanisha 3rd leg nao Ni mrefu nikweli mwanamke mwenyekidole cha mguu kirefu katikati...
  2. M

    Mtanzania asiye na jibu pesa za TANESCO zinakokwenda

    Ndg wanajamvi najitokeza hapa katika eneo la watu walioelimika nikiwa Mtanzania napenda nipate ufafanuzi kuhusu swala la TANESCO Mimi ni mteja wa muda mrefu wa Shirika letu la Uma nililipia gharama zote ndipo nikaunganishwa na huduma hiyo Swali, nalipa service charge bado nanunua huduma kwanza...
  3. M

    Nipewe jibu: Maji yapi hupooza mengine kati ya moto na baridi

    Ndg wana jamvi nimekuwa napata maswali mengi hasa kwa sie tuendao bafuni na ndoo au karai ukitanguliza maji ya Moto utasema unapooza ukitanguliza baridi unapooza Mfano huu unamaanisha wewe Una hamu na tendo la ndoa mwenzio hajawa tayari AMA haelekei au haonyeshi ushirikiano je.unatakiwa...
  4. M

    Jamani Arusha yetu je ni ya kweli?

    Watanzania wenzangu wana WA Arusha naleta Uzi huu mnisaidie kuweka wazi ile dhana iliyojengwa kuwa arusha ya zamani ilikuwa bora zaidi ya arusha ya sasa tafadhali nipatie sababu japo mbili kama sababu zako zitanibadilisha mtazamo wangu kifikra naomba kuwasilisha usichangie
  5. M

    Je kwanini mwanaume wakati wa kutoa haja ndogo hujanyua kichwa juu

    Ni swali nimekua nikijiuliza Mara nyingi bila kupata jibu inasababishwa na nini mwanaume wakati WA aja ndogo (kukojoa) huwa atanyanyua macho juu aitha wakati anaanza AMA karibia na kumaliza tafadhali nipatie jibu kwa aliyewahi kukumbana na hali hii au chunguza naomba kuwasilisha
  6. M

    mke kusema imetosha anamaanisha nini

    Katikahali isiyoya kawaida mnakuwa ktk shuguli zamikono kitandani picha likiwa halijaanza mwenzio anakuambia imetosha NA mazoea hataki tenaimekaaje wataaliuma NA wahitimu
  7. M

    somali somali soma and lia somalia

    Ktk pitapita zangu leonimekutana NA.raiammoja kutoka somaliktk mahojiano akaniambia yeyeni mganga Anaetibu magonjwa yaunene uliopitiliza Nilipomuhoji zaidi akasema anafuga chuina masharti yakenafuu sanaunakuja nanyama Nusukilo anakufungia kwenye mguuanafungulia chui wakeutakacho Tanya...
  8. M

    Fafanua mwenzako akinyolewa tia maji

    Nimesoma methali.nyingi Ila.Kati ya. Zote hiiniya kibabe Saudi UKIONA MWENZAKO AKINYOLEWA NA WEWE TIA MAJI
  9. M

    Hodi hodii!!!! Hata msipoitika nimo ndani ya JF....

    Ndio kama ulivyosoma hapo juu! Sitoki ng'oo! Wewe nikaribishe tu wala usizuzuke na mikwara yangu!
Back
Top Bottom