Search results

  1. G

    Nahitaji Samsung galaxy Note 5

    Ninahitaji simu hiyo ,offer yangu ni laki3 cash...npo iringa mjini kabla ya tar.15!mwenye nayo tuwasiliane 0629318661
  2. G

    Nahitaji samsung galaxy note 5 kwa laki3 tu

    Mwenye nayo nakaridhika nahiyo bei anichek mapema,pesa ipo cash sema inatoka baada yakuona simu nipo Iringa kwasasa!ni pm tu
  3. G

    Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

    Sure,kazi na Elimu inawapa kibur sana.... Acha wapambane nahali zao mchungaji!
  4. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mara karibu narukwa mzee, serengeti
  5. G

    Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Poor country,poor people,poor life......Every thing is poor in this country
  6. G

    Msaada kwa mlioingia OLAS ya HESLB

    Unaweza omba mkopo bila kupata matokeo yaform six kweli?
  7. G

    Piga Kura ya Lissu kufunguliwa Mashtaka mapya..

    Raisi wako sio wetu!wetu nanani?post lefuuu afu pumba mtupu
  8. G

    Kituo kipi cha TV kitaonesha Bunge la bajeti litakuwa Live?

    Hili linchi hili kweli nishida,tumebarikiwa kila kitu namwenyez mungu kasoro viongozi,wote mizoga.akili ndogo ndio zinaongoza akili kubwa!
  9. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Serengeti hapa karibu natarime....
  10. G

    Nauza galaxy i9152

    250 vipi?weka picha basi tuione mzee
  11. G

    Tecno p5 kwa 80 elfu

    nauza tecno p5 imetumika miezi minne,haina tatizo ktk matumizi ila kioo kidogo kimecrack,nakupa memory 4GB nacharger.....npo Arusha nahitaji pesa fasta.....!picha what's up huku nimeshindwa kuatach.
  12. G

    Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

    Kwa mara ya kwanza kabisa katika maisha yangu najuta kabisa kuwa mtanzania, taifa la watu wajinga, taifa lisilo na mbele wala nyuma, jambo ambalo hata mtoto mdogo haliwezi kumsumbua eti majitu mazima yanapiga yowe kuwa dola imepanda. Mnataka shilingi ya Tanzania ipande kwenda wapi...
  13. G

    Hali sio shwari Chuo Kikuu cha Dodoma, Polisi waingilia kati kuzima maandamano

    R.I.P udom student,policeccm akili ndogo ukijumlisha bangi=vibaraka wabei rahisi waccm na serekali yao iliyojaa rushwa.kumuua mtoto wawatu ambae wazazi wake maskini wamewekeza kwake aje kuwakomboa niunyama wahali yajuu sana!hii nchi hiii mungu atuepushe kabla hatujaja chinjana kati yawalionacho...
  14. G

    UDOM mnatutesa watoto wa wakulima

    poleni sana madogo!nchi yetu imejaa siasa,ufisadi naunyama wahali yajuu kwawatu watabaka lachini!naijua njaa yachuo ilivyokali wakati huu!enzi zetu hapo tulikua tunakiwasha nakabeho wetu mbele mbaka kinaeleweka!hao udosoccm mlionao sasa hawana Msaada kwenu jaribuni kustraich ubongo wenu kwa...
  15. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kinamura nao hawataki kwao Mara bhana!!!!
  16. G

    Mambo manne makuu ya kuyafahamu wakati wa kutafuta Scholarship

    nina GPA ya 3.0 Bsc-ed!naweza pata udhanimi?nataka ningepata mambo yagesigesi!!!!
  17. G

    Tukifanya haya hatutokua na matatizo tena kwenye mahusiano yetu

    kha!kha!khaaaaaa!!!JF raha sana....u hv made my xmass mood good...
Back
Top Bottom