Search results

  1. L

    Hivi ni kweli?

    Nimekuwa nikiona au kusoma post za wana JF mara natafuta mchumba mara natafuta sugar mamii mara natafuta msichana wa kuoa anaejitambua hivi uwa mnapata kabisa na mnafikia malengo ya kuoana nitoeni usingizini mwenzenu bado siamini mapenzi ya kwenye mitandao tena urafiki unaisha mapema...
  2. L

    Raha

    Habari zenu wa JF wenzangu! dah kumbe ukipata anaekupenda kwa dhati na si unaempenda kwa dhati raha sana eeeh mwenzenu nilikuwa sijawahi kulijua hili.
  3. L

    Je kuna madhara yoyote?

    Je kuna madhara yoyote kwa mtoto wa kike kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi??
  4. L

    Bado nampenda

    Wadau hebu nisaidieni nampenda sna mume wangu na tangu tumetengana kwa muda wa mwaka na nusu sasa sijathubutu kuwa na uhusiano wowote na mwanaume mwingine tatizo mume wangu ni bondia namaanisha amekuwa akinipiga sna tangu tulipokuwa boy friend na gal friend zen anaomba msamaha kwamba ni hasira...
  5. L

    Rate nzuri

    Kwa rate nzuri karibu supreme bureau de change tupo karikoo opp palace hotel or cal us 0714800300/0787315959
  6. L

    Nina kamba mguuni!

    waungwana hodi umu ndani navutiwa na majadiliano yenu naomba mnipokee!
Back
Top Bottom