Search results

  1. Bazobonankira

    Tuongeze uelewa - Ni kwa jinsi gani na kwanini unazalishwa mchanga wa dhahabu?

    Wanajamvi, Imeonekana mahala. Tusome, tuelewe na tuongeze ufahamu wetu. Nawasilisha
  2. Bazobonankira

    TDL/Konyagi imesitisha utengenezaji za pombe kwa kutumia vifungashio vya plastiki

    Today in the afternoon we were visited by a team from NEMC, TFDA, TBS, TRA, Police and other government agencies, they came to verify if we have complied to the Government announcement on Sachet products. They found the following; No production of products packed in sachets. All sachet line...
  3. Bazobonankira

    TDL Imesitisha utengenezaji pombe kwa vifungashio vya plastiki

    Today in the afternoon we were visited by a team from NEMC, TFDA, TBS, TRA, Police and other government agencies, they came to verify if we have complied to the Government announcement on Sachet products. They found the following; No production of products packed in sachets. All sachet line...
  4. Bazobonankira

    Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

    Waanze na Azana zinazoboa watu kutuamsha na kutishiana makaburi usiku usiku.. tena wanaweka vipaza sauti nje wakati wao wapo ndani na majumbani kwao. kama wapo busy na kukumbushana si wapigiane simu bwana. Then waamie kwenye makengere ya makanisa ndio waje kwa watu wanaomtafuta Mungu ndani...
  5. Bazobonankira

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hii imetokea muda huu wakati akihutubia mkutano wa ufunguzi wa kampeni za CCM, kuwa kuna vyama vinasema vinataka kuwakomboa watanzania, ya kuwa watu hao ni WAPUMBAVU. Kwa hili Rais Mstaafu Mkapa amekosea kwa kuwatukana watanzania ambao wanashiriki katika siasa halali kabisa nje ya CCM...
  6. Bazobonankira

    Polisi wapiga marufuku maandamano kwa vyama vya siasa

    Kiroja ni kwamba eti hoja inayotolewa ni sababu za kiusalama. Naibu Inspekta wa polisi Abdurahman Kaniki anasema ni baada ya tathmini ya uchukuaji fomu wa CCM na UKAWA. Huku ni kuwanyima haki wananchi kushiriki katika shughuli za kisiasa. Ningewaona wanamantiki iwapo wangeweka utaratibu na...
  7. Bazobonankira

    Polisi wapiga marufuku maandamano kwa vyama vya siasa

    Eti limesitisha maandamano ya aina yoyote kuanzia sasa kwa wagonbea urais, iwe kusaka wadhamini ama kurejesha fomu NEC. Hii ni kali ya mwaka na haiwezi kuwa na mantiki hata kidogo. Ukifatilia kwa makini, utabaini no woga tu wa watawala dhidi ya Lowassa na UKAWA. Source: Evening News...
  8. Bazobonankira

    Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

    Hayapigi kura kweli but stories repeatedly issued in newspapers has a significant influence to readers choice on who to vote and who not to vote. Majority wanawajua wagombea wa vyama vyote thru media, hawajawahi kutana a nao msikitini wala kanisani, msibani ama harusini, shambani wala sokoni...
  9. Bazobonankira

    Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

    Malisa, nakubaliana kabisa na your observation and media analysis kwenye suala la Lowassa vs Magufuli. Hata itakapolazimu kufanyika kisayansi zaidi, kwa kutazama Advertising Vue Equivalence ya coverage za wote wawili for the past three months, thamani ya stories za Lowassa ni over triple the...
  10. Bazobonankira

    CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Kumbe otherwise wanakubali kuwa asingepatikana kwa amani eenh?
  11. Bazobonankira

    Soko la Mtambani Kinondoni Manyanya lawaka moto alfajiri ya leo

    Habari za uhakika kutoka eneo la soko maarufu la Mtambani, Kinondoni Manyanya zinasema soko hilo limewaka moto na kuunguza maduka mengi ya wafanyabiashara mbalimbali alfajiri ya leo. Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia.
  12. Bazobonankira

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Nimesikitishwa sana na kijana Zitto. Yako wapi majigambo na majivuno yote. Ziko wapi kauli na tambo zake kuwa atakuwa wa mwisho kutoka CHADEMA. Yako wapi yale maneno yake ya siku zote kuwa hakuw mamliki? Anawaambia nini wale ambao hawakuwahi kusadiki kauli za wachunguzi wa kisiasa ambao...
  13. Bazobonankira

    Kiongozi wa Vijana wa JKT waliokuwa waandamane apotea ghafla

    Kwa hiyo kiapo kinasema iwapo ukitenda vinginevyo stahiki yake ni kutendewa ukatili wa kiasi hicho? From human rights perspective na kwa mtazamo wa kiutu, si sawa by all standards
  14. Bazobonankira

    Kiongozi wa Vijana wa JKT waliokuwa waandamane apotea ghafla

    Taarifa zilizojiri hivi punde ni kuwa kiongozi wa vijana waliohitimu JKT ambao walitangaza kuanza maandamano ameokotwa msitu wa mabwepande akiwa ameumizwa vibaya kwa sasa yupo hospital ya Tumbi-Kibaha. Mwenye detailed info tafadhali tusaidie. Nawasilisha
  15. Bazobonankira

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Ni muhimu ukatuwekea na reliable source of your info Yericko, maana tumezoea issues kuanzishwa hapa na kuleta hofu na mwishowe huwa ni hofu ya jambo lisiloweza thibitika. Sina maana ya kubisha unachokisema, ila ni vema kujiridhisha pasipo na shaka. Otherwise tunaweza ichukulia kama simulizi ya...
  16. Bazobonankira

    Mwigulu Nchemba akamata mhujumu uchumi, aokoa bilioni 7

    Ina maana kuwa, pamoja na mjadala mrefu tangu jana, hakuna anayeweza kutoa clear details about huyu suspect? Let's get a little bit more serious jamani. Viewers/readers of this forum wanaiamini sana, nasisitiza, sana tu hii forum. Mbona tunapewa info half cooked? Is this really the best people...
  17. Bazobonankira

    Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    Naimagine majibu: Tumetumia nguvu, fedha na jitihada kubwa kuleta maisha bora kwa kila mmachinga kwa kuwapa Machinga Complex, kisha vijana wanakuwa wakorofi! Haiwezekani! "If u can't convince them, confuse them" now wameamka wamechanganyikiwa. Next move ni kuwahamishia wote Machinga Complex...
  18. Bazobonankira

    Usajili wa Simu, Kenya kimenuka! Tz tunajifunza nini!!??

    Wakurugenzi waandamizi wa makaampuni ya simu wasakwa na kukamatwa na polisi, kulala lupango! Full story down here...
  19. Bazobonankira

    Unga ni Janga la Kimataifa - Cocain ya USD milioni 270 yanaswa airport Ufaransa

    Hofu yangu ni kuwa kidhungu. Ndio kimekufanya usielewe chochote! Hamna kamusi kwa jirani yako?
Back
Top Bottom