TDL Imesitisha utengenezaji pombe kwa vifungashio vya plastiki

Bazobonankira

Senior Member
Jan 18, 2007
120
61
Today in the afternoon we were visited by a team from NEMC, TFDA, TBS, TRA, Police and other government agencies, they came to verify if we have complied to the Government announcement on Sachet products.

They found the following;
  1. No production of products packed in sachets. All sachet line were idle and no activity carried in the packaging hall.
  2. They found finished stock in warehouse which is quarantined and coded NOT FOR SALE.
  3. Last production was 28.02.17 and the stock was in the warehouse.
  4. Production for bottled products was on going.
  5. They have collected information on Raw Materials and finished goods for sachet products.
  6. They visited whole plant as search offices and warehouses.
  7. They checked all documents and permits for the plant i.e Business license, TIN, tax clearance letter, TBS permits, TFDA permits and so forth.
Muhtasari;

Kampuni ya TDL maarufu Konyagi imesitisha utengenezaji za pombe kwa kutumia vifungashio vya plastiki kwa mujibu wa agizo la serikali ambapo mwisho wa kusambaza pombe hizo ulikuwa jana.

Maofisa kutoka NEMC, TFDA, TBS, TRA, na Jeshi la Polisi, wamefika kiwandani leo na kukuta hakuna uzalishaji wa vinywaji hivyo unaoendelea kama ambavyo kuna taarifa za kupotosha kwenye mitandao ya kijamii zinazoeleza kuwa TDL imekaidi agizo la serikali na imekutwa ikiendelea kufanya uzalishaji kwa kutumia vifungashio vilivyoipigwa marufuku na serikali.

TDL siku zote imekuwa ikiendesha shughuli zake za kibiashara kwa kufuata miongozo na sheria za serikali kupitia taasisi mbalimbali hiyo haiwezi kukaidi na kuendelea na uzalishaji wa kutumia vifungashio vya plastiki wakati vimepigwa marufuk,u bali inajipanga kutumia teknolojia za kutumia vifungashio vilivyotengenezwa kwa malighafi ya kioo ambavyo vina ubora wa hali ya juu na salama kwa kuwa sio rahisi kuviigiza.
 
Back
Top Bottom